Jafo Asisitiza Viongozi Kutembelea Miradi

Jafo Asisitiza Viongozi Kutembelea Miradi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jafo Asisitiza Viongozi Kutembelea Miradi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jafo Asisitiza Viongozi Kutembelea Miradi
kiungo : Jafo Asisitiza Viongozi Kutembelea Miradi

soma pia


Jafo Asisitiza Viongozi Kutembelea Miradi


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemank Jafo amesisitiza Viongozi na watendaji kutembelea miradi ya maendeleo inayo tekelezwa katika maeneo hayo ili miradi hiyo iweze kutekelezwa vizuri Kama inavyotakiwa.

Waziri Jafo aliyasema hayo Leo hii alipokuwa katika ukaguzi wa miradi ya DMDP wilayani Temeke Jijini Dar es Salaam.

Ziara hiyo ya kikazi ya waziri wa TAMISEMI ni muendelezo wa kazi tokea kuanza kwa mwaka 2019 iliyoanzia Wilayani Chemba, Kilosa, Kibiti, Rufiji, na Temeke.

Katika ziara hiyo Jafo alifanikiwa kufanya ukaguzi wa barabara za DMDP katika Kata ya Buza, ujenzi wa kituo cha afya Buza, pamoja na soko la kisasa linalojengwa eneo la Makangarawe.

Katika ukaguzi huo Jafo alifurahishwa Sana na kazi nzuri inayo tekelezwa katika eneo hilo. Ameagiza kituo hicho pamoja na soko hilo la kisasa likamilike kabla mwezi June mwaka 2019.

Waziri Jafo anaendelea na ziara ya kikazi mkoani Kigoma kwa lengo la kufuatilia thamani ya fedha zilizotewa chini ya ofisi ya Rais TAMISEMI kutekeleza miradi ya maendeleo katika Halmashauri zote Nchini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo(katikati) akikagua barabara zinazokengwa na mradi wa Dmdp katika kata ya Buza eneo la Makangarawe
Soko la kisasa linaloendelea kujengwa katika Kata ya Buza eneo la Makangarawe kupitia mradi wa Dmdp
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo(katikati) akikagua ujenzi aa Kituo cha Afya kinachojengwa katika Kata ya Buza



Hivyo makala Jafo Asisitiza Viongozi Kutembelea Miradi

yaani makala yote Jafo Asisitiza Viongozi Kutembelea Miradi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jafo Asisitiza Viongozi Kutembelea Miradi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/jafo-asisitiza-viongozi-kutembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jafo Asisitiza Viongozi Kutembelea Miradi"

Post a Comment