title : WIZARA YA ARDHI WAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA TATHMINI YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI NA MALIPO YAKE KWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI
kiungo : WIZARA YA ARDHI WAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA TATHMINI YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI NA MALIPO YAKE KWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI
WIZARA YA ARDHI WAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA TATHMINI YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI NA MALIPO YAKE KWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI
MwambawahabariKamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Kati Bw,Hezekiely Kitilya akiwa katika mkutano na waandishi wa habari akizungumzia tathmini ya ulipaji kodi ya pango la ardhi na Malipo yake yanavyoweza ufanyika kwa mfumo mpya wa kielektroniki leo mjini Dodoma.
Afisa Ardhi Mwandamizi kutoka Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo Bi.Jane Kapongo akifafanua jambo kwa waandishi wahabari (hawapopichani) juu ya Hati za Kimila kutumika kama dhama na katika Taasisi za Kifedha Nchini leo Mjini Dodoma.
MsajiliwaHatikutokaWizarayaArdhi,NyumbanaMaendeleoyaMakaziBw.GeofreyMauyaakizungumzanawaandishiwahabarijuuyataratibumbalimbalizahatinajinsiyakuzipatakatikamkutanonawaandishiwahabariMjini Dodoma.
KamishnaMsaidiziwaArdhi Kanda ya Kati Bw,HezekielyKitilyaakisisitizajambokwawaandishiwajuuyatathminiyaulipajikodiyapango la ardhinaMalipoyakeyanavyowezakufanyikakwamfumompyawakielektronikileomjini Dodoma.
PichanaDaudiManongi,MAELEZO,DODOMA.
Hivyo makala WIZARA YA ARDHI WAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA TATHMINI YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI NA MALIPO YAKE KWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI
yaani makala yote WIZARA YA ARDHI WAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA TATHMINI YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI NA MALIPO YAKE KWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA ARDHI WAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA TATHMINI YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI NA MALIPO YAKE KWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/wizara-ya-ardhi-wafanya-mkutano-na.html
0 Response to "WIZARA YA ARDHI WAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA TATHMINI YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI NA MALIPO YAKE KWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI"
Post a Comment