title : RC GAMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA KUBORESHA UTALII MKOANI ARUSHA
kiungo : RC GAMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA KUBORESHA UTALII MKOANI ARUSHA
RC GAMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA KUBORESHA UTALII MKOANI ARUSHA
Mwambawahabari
*RC Gambo afanya mazungumzo na balozi wa Ufaransa kuboresha utalii mkoani Arusha*
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akiwa Ufaransa, amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Samwel W Shelukindo. Ufaransa ni moja ya zinazoleta watalii wengi nchini Tanzania. Pamoja na mambo mwingine wamejadiliana Yafuatayo:-
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akiwa Ufaransa, amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Samwel W Shelukindo. Ufaransa ni moja ya zinazoleta watalii wengi nchini Tanzania. Pamoja na mambo mwingine wamejadiliana Yafuatayo:-
1. Mambo ya Msingi ya kufanya ili kuongeza watalii kutoka Ufaransa kuja Arusha
2. Kupata wawekezaji kutoka Ufaransa kuja Arusha (Fursa za uwekezaji zilizopo Mkoani Arusha )
3. Kuanzisha tukio la kimataifa la kutangaza utalii mkoani Arusha kila mwaka
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo yupo katika ziara ya mafunzo nchini Ufaransa pamoja na mafunzo hayo amekua akiutangaza mkoa wa Arusha kama kitovu cha utalii nchini Tanzania.
Hivyo makala RC GAMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA KUBORESHA UTALII MKOANI ARUSHA
yaani makala yote RC GAMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA KUBORESHA UTALII MKOANI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC GAMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA KUBORESHA UTALII MKOANI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/rc-gambo-afanya-mazungumzo-na-balozi-wa.html
0 Response to "RC GAMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA KUBORESHA UTALII MKOANI ARUSHA"
Post a Comment