Halotel yatoa Shukurani kwa wateja wake jijini Mwanza

Halotel yatoa Shukurani kwa wateja wake jijini Mwanza - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Halotel yatoa Shukurani kwa wateja wake jijini Mwanza, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Halotel yatoa Shukurani kwa wateja wake jijini Mwanza
kiungo : Halotel yatoa Shukurani kwa wateja wake jijini Mwanza

soma pia


Halotel yatoa Shukurani kwa wateja wake jijini Mwanza




Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Katika kusherehekea miaka mitatu tangu kuanza kutoa huduma zake hapa nchini, kampuni ya mawasiliano ya simu Halotel imefanya tamasha kubwa na la wazi liitwalo “Shukrani Music Concert” katika uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza.

Tamasha hilo limefanyika Januari 12, 2019 ambapo watumiaji wa mtandao wa Halotel walijipatia zawadi mbalimbali ikiwemo simu za mkononi. Aidha kampuni hiyo pia ilitoa mashuka 50 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanza Sekou Toure na mengine 50 katika Kituo cha Afya Bwisya wilayani Ukerewe.

Makamu Mkurugenzi wa Halotel tawi la Mwanza linalojumuisha mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara, Francis Mafuru alisema kampuni hiyo iliyoanza kutoa huduma zake hapa nchini Oktoba 15, 2015 pia imetumia zaidi ya shilingi Milioni Sita kununua madawa na vifaa tiba kwa ajili ya Kituo cha Afya Bwisya pamoja na Hospitali ya Sekou Toure.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye tamasha hilo akimkabidhi mwakilishi wa Mgangwa Mfawidhi wa Kituo cha Afya Bwisya, Cosmas Wanzara (kushoto), mashuka yaliyotolewa na kampuni ya Halotel.
Tamasha hilo lilipambwa na burudani kali kutoka kwa msanii Mr. Blue a.k.a BlueByser.


Hivyo makala Halotel yatoa Shukurani kwa wateja wake jijini Mwanza

yaani makala yote Halotel yatoa Shukurani kwa wateja wake jijini Mwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Halotel yatoa Shukurani kwa wateja wake jijini Mwanza mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/halotel-yatoa-shukurani-kwa-wateja-wake.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Halotel yatoa Shukurani kwa wateja wake jijini Mwanza"

Post a Comment