title : WASANII WA FILAMU WAASWA KUJUA THAMANI YA KAZI ZAO
kiungo : WASANII WA FILAMU WAASWA KUJUA THAMANI YA KAZI ZAO
WASANII WA FILAMU WAASWA KUJUA THAMANI YA KAZI ZAO
Wanatasnia wa filamu na michezo ya kuigiza nchini wameaswa kujua thamani yao na kazi zao katika kulinda maadili na utamaduni wa kitanzania ili kujijengea heshima mbele ya jamii na wapenzi wa kazi zao.
Rai hiyo imetolewa leo na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bibi. Joyce Fissoo alipokuwa akizungumza na viongozi wa Kamati ya Matukio, Maadili na Mikataba wa Chama cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni (Tanzania Drama Film Actors Association – Kinondoni) walipotembelea na kufanya kikao katika Ofisi za Bodi ya Filamu Mtaa wa Samora Jijini Dar es salaam.
Bibi. Fissoo alisema baadhi ya wanatasnia ya filamu wanaonyesha mwenendo unaokinzana na maisha na maadili ya kitanzania huku miongoni mwao wakifanya vitendo vinavyodhalilisha utu na heshima hivyo kuitia doa tasnia nzima ya filamu na michezo ya kuigiza.
“Nawapongeza Chama cha Waigizaji kwa kushirikiana na serikali katika kukemea wale wanachama wachache wanao chafua taswira ya tasnia. Ni muhimu kuendelea kuongeza nguvu katika nidhamu, matumizi ya lugha zenye staha, mavazi yanayoonyesha taswira chanya ya taifa letu; hivyo endeleeni kuiunga mkono Serikali katika hatua inazozichukua” alisema Fissoo
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (katikati) akiongoza kikao na viongozi wa Kamati ya Matukio, Maadili na Mikataba wa Chama cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni (Tanzania Drama Film Actors Association-Kinondoni) walipotembelea ofisi za Bodi ya Filamu kuwatambulisha viongozi wa chama hicho kwa uongozi wa Bodi ya Filamu hivi karibuni katika Ofisi za Bodi ya Filamu Mtaa wa Samora jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wanachama na viongozi wa Kamati ya Matukio, Maadili na Mikataba wa Chama cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni (Tanzania Drama Film Actors Association-Kinondoni) wakifuatilia taarifa iliyokua ikitolewa wakati wa kikao na Bodi ya Filamu kuwatambulisha viongozi hao hivi karibuni katika Ofisi za Bodi ya Filamu Jijini Dar es Salaam
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (wanne kulia) katika picha ya pamoja na Wanachama na Wajumbe wa Kamati ya Matukio, Maadili na Mikataba wa Chama cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni (Tanzania Drama Film Actors Association-Kinondoni) baada ya kikao na wajumbe hao walitembelea ofisi za Bodi ya Filamu kuwatambulisha viongozi wa chama hicho kwa uongozi wa Bodi ya Filamu hivi karibuni katika Ofisi za Bodi ya Filamu Jijini Dar es salaam.

Hivyo makala WASANII WA FILAMU WAASWA KUJUA THAMANI YA KAZI ZAO
yaani makala yote WASANII WA FILAMU WAASWA KUJUA THAMANI YA KAZI ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASANII WA FILAMU WAASWA KUJUA THAMANI YA KAZI ZAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/wasanii-wa-filamu-waaswa-kujua-thamani.html
0 Response to "WASANII WA FILAMU WAASWA KUJUA THAMANI YA KAZI ZAO"
Post a Comment