title : MAJALIWA APOKEA MIFUKO 50 YA SARUJI KWA AJILI YA JIMBO LA BUKENE
kiungo : MAJALIWA APOKEA MIFUKO 50 YA SARUJI KWA AJILI YA JIMBO LA BUKENE
MAJALIWA APOKEA MIFUKO 50 YA SARUJI KWA AJILI YA JIMBO LA BUKENE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mbunge wa Bukene, Selemani Zedi (kushoto) mifuko 50 ya saruji iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora kupitia CCM, Munde Tambwe (wapili kushoto ) baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Taifa wa Bukene wilayani Nzega Agosti 17, 2018 saruji hiyo imetolewa kwa jimbo la Bukene ili isaidie katika ujenzi wa miundombinu ya huduma za jamii jimboni humo. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Taifa wa Bukene wilayani Nzega, Agosti 17, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA APOKEA MIFUKO 50 YA SARUJI KWA AJILI YA JIMBO LA BUKENE
yaani makala yote MAJALIWA APOKEA MIFUKO 50 YA SARUJI KWA AJILI YA JIMBO LA BUKENE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA APOKEA MIFUKO 50 YA SARUJI KWA AJILI YA JIMBO LA BUKENE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/majaliwa-apokea-mifuko-50-ya-saruji-kwa.html
0 Response to "MAJALIWA APOKEA MIFUKO 50 YA SARUJI KWA AJILI YA JIMBO LA BUKENE"
Post a Comment