title : RAIS DKT MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI MSTAAFU JOSEPH ANAEL LESULIE. ADA ESTATE JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI MSTAAFU JOSEPH ANAEL LESULIE. ADA ESTATE JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI MSTAAFU JOSEPH ANAEL LESULIE. ADA ESTATE JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitia saini katika kitabu cha Maombelezo cha Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwapa pole familiya ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa kufiwa na baba yao aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018

Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018. Picha na Ikulu.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI MSTAAFU JOSEPH ANAEL LESULIE. ADA ESTATE JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI MSTAAFU JOSEPH ANAEL LESULIE. ADA ESTATE JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI MSTAAFU JOSEPH ANAEL LESULIE. ADA ESTATE JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-dkt-magufuli-aaga-mwili-wa.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI MSTAAFU JOSEPH ANAEL LESULIE. ADA ESTATE JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment