title : VIONGOZI NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WAPATIWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIKATABA
kiungo : VIONGOZI NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WAPATIWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIKATABA
VIONGOZI NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WAPATIWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIKATABA
Mtaalam Manunuzi,Bw. Jones Mapunda kutoka Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama, akitoa mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba kwenye ukumbi wa kitengo hicho.
Baadhi ya viongozi wa Mahakama ya Tanzania na Watumishi wakiwa katika mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama.
Mtaalam Manunuzi,Bw. Jones Mapunda kutoka Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama, akitoa mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba kwenye ukumbi wa kitengo hicho kwa viongozi na Watumishi wa Mahakama. (Picha na Magreth Kinabo).
Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama, Mhe. Zahra Maruma akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama.
Mtendaji wa Mahakama ya Rufaa, Bw. Solanus Nyimbi akifunga mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba yaliyofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama.
Hivyo makala VIONGOZI NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WAPATIWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIKATABA
yaani makala yote VIONGOZI NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WAPATIWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIKATABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WAPATIWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIKATABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/viongozi-na-watumishi-wa-mahakama.html
0 Response to "VIONGOZI NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WAPATIWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIKATABA"
Post a Comment