title : MKUTANO WA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA WAFANYIKA ZANZIBAR
kiungo : MKUTANO WA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA WAFANYIKA ZANZIBAR
MKUTANO WA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA WAFANYIKA ZANZIBAR
Baadhi ya Wamiliki wa Vyombo vya Habari waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na Mabadiliko ya Teknolojia Ulioandaliwa na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)wakishirikiana na Tume ya Utangazaji Zanzibar.katika ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni mjini Unguja.
Mhandisi Mkuu wa Utoaji Leseni za Mawasiliano TCRA Andrew Kisaka (aliesimama)akitoa maelezo kuhusu Mabadiliko ya Teknolojia katika mkutano uliowashirikisha Wamiliki wa Vyombo vya Habari uliofanyika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni mjini Unguja.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Khadija Bakari Juma akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano kuhusiana na Mabadiliko ya Teknolojia Ulioandaliwa na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)wakishirikiana na Tume ya Utangazaji Zanzibar.katika ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni mjini Unguja.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala MKUTANO WA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA WAFANYIKA ZANZIBAR
yaani makala yote MKUTANO WA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA WAFANYIKA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA WAFANYIKA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mkutano-wa-wamiliki-wa-vyombo-vya.html
0 Response to "MKUTANO WA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA WAFANYIKA ZANZIBAR"
Post a Comment