Taasisi ya Uongozi na REPOA wazindua programu mpya ya kuisaidia serikali kuwezesha sera bora za kiuchumi

Taasisi ya Uongozi na REPOA wazindua programu mpya ya kuisaidia serikali kuwezesha sera bora za kiuchumi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taasisi ya Uongozi na REPOA wazindua programu mpya ya kuisaidia serikali kuwezesha sera bora za kiuchumi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Taasisi ya Uongozi na REPOA wazindua programu mpya ya kuisaidia serikali kuwezesha sera bora za kiuchumi
kiungo : Taasisi ya Uongozi na REPOA wazindua programu mpya ya kuisaidia serikali kuwezesha sera bora za kiuchumi

soma pia


Taasisi ya Uongozi na REPOA wazindua programu mpya ya kuisaidia serikali kuwezesha sera bora za kiuchumi

 Mkurugenzi Mtendaji wa REPOA Dkt. Donald Mmari akifungua warsha ya kujadili programu mpya ya utafiti itakayoisaidia serikali kutunga na kutekeleza sera bora za kiuchumi na kuwezesha mazingira bora ya kufanya biashara. Programu hii inataratibiwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na REPOA.
  Baadhi ya washiriki ya warsha waliohuduria kwa ajili ya kufanya tathmini ya maeneo yatakayolengwa katika programu hii ili kuweza kuja na mpango utakaoakisi kuboresha hali ya utawala wa kiuchumi nchini. Warsha hii ili wahusisha washirika hamsini kutoka katika idara za sera, utafiti na mipango serikalini, wizara, taasisi zake na hata kutoka sekta binafsi.
 Mwenyekiti wa Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC) Bi. Jacqueline Mneney Maleko akitoa mawazo yake kuhusu programu hiyo mpya inayoratibiwa na Taasisi ya Uongozi na REPOA wakati wa warsha ya kujadili programu mpya ya utafiti itakayoisaidia serikali kutunga na kutekeleza sera bora za kiuchumi na kuwezesha mazingira bora ya kufanya biashara.
 Afisa Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Ukusanyaji wa Fedha (TRA) Bw. Kailembo Yahya akichangia mada kwenye warsha ya kujadili programu mpya ya utafiti itakayoisaidia serikali kutunga na kutekeleza sera bora za kiuchumi na kuwezesha mazingira bora ya kufanya biashara.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Profesa Joseph Semboja akizungumza wakati wa warsha hiyo iliyoandaliwa kutoa mapendekezo ya programu mpya itakayotoa ushauri kwa serikali kwenye kuboresha sera za kiuchumi na mazingira bora ya kufanya biashara.
   Sehemu ya washiriki ya warsha hiyo wakijadiliana kwenye makundi wakati wa warsha ya kujadili programu mpya ya utafiti itakayoisaidia serikali kutunga na kutekeleza sera bora za kiuchumi na kuwezesha mazingira bora ya kufanya biashara.
 Mkurugenzi Mtendaji wa REPOA Dkt. Donald Mmari akiteta jambo na Mbunge wa Igunga Dkt. Dalali Kafumu wakati wa warsha hiyo iliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na REPOA. 


Hivyo makala Taasisi ya Uongozi na REPOA wazindua programu mpya ya kuisaidia serikali kuwezesha sera bora za kiuchumi

yaani makala yote Taasisi ya Uongozi na REPOA wazindua programu mpya ya kuisaidia serikali kuwezesha sera bora za kiuchumi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Uongozi na REPOA wazindua programu mpya ya kuisaidia serikali kuwezesha sera bora za kiuchumi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/taasisi-ya-uongozi-na-repoa-wazindua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Taasisi ya Uongozi na REPOA wazindua programu mpya ya kuisaidia serikali kuwezesha sera bora za kiuchumi"

Post a Comment