RAIS MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU PROF. EGID BEATUS MBOFU MAKAMU ALIYEKUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM)

RAIS MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU PROF. EGID BEATUS MBOFU MAKAMU ALIYEKUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU PROF. EGID BEATUS MBOFU MAKAMU ALIYEKUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU PROF. EGID BEATUS MBOFU MAKAMU ALIYEKUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM)
kiungo : RAIS MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU PROF. EGID BEATUS MBOFU MAKAMU ALIYEKUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM)

soma pia


RAIS MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU PROF. EGID BEATUS MBOFU MAKAMU ALIYEKUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM)

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akitia saini katika kitabu cha Maombelezo cha Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM)  mara baada ya kuwasili Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu, aliyefariki dunia Desemba 18,2018 Nchini Afrika Kusini. 
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwisho kwa Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu  aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM)  , Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu, aliyefariki dunia Desemba 18, 2018 nchini Afrika Kusini.
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimpa pole mjane Joyce Chamhuro (Mke wa Marehemu) pamoja na familiya ya Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu  aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM), Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu, aliyefariki dunia Desemba 18, 2018 nchini Afrika Kusini.
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Wafiwa na Waombolezaji wengine mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu  aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM), Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu, aliyefariki dunia Desemba 18, 2018 nchini Afrika Kusini.
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Wafanyakazi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) pamoja  na Waombolezaji wengine mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Profesa Egid Beatus Mbofu  aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM)  , Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu, aliyefariki dunia Desemba 18, 2018 nchini Afrika Kusini.

 Picha na Ikulu.


Hivyo makala RAIS MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU PROF. EGID BEATUS MBOFU MAKAMU ALIYEKUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM)

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU PROF. EGID BEATUS MBOFU MAKAMU ALIYEKUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU PROF. EGID BEATUS MBOFU MAKAMU ALIYEKUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/rais-magufuli-aaga-mwili-wa-marehemu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI AAGA MWILI WA MAREHEMU PROF. EGID BEATUS MBOFU MAKAMU ALIYEKUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM)"

Post a Comment