SERIKALI YAPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO WILAYANI TARIME, YAHIMIZA KUWAPELEKA SHULE

SERIKALI YAPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO WILAYANI TARIME, YAHIMIZA KUWAPELEKA SHULE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO WILAYANI TARIME, YAHIMIZA KUWAPELEKA SHULE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO WILAYANI TARIME, YAHIMIZA KUWAPELEKA SHULE
kiungo : SERIKALI YAPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO WILAYANI TARIME, YAHIMIZA KUWAPELEKA SHULE

soma pia


SERIKALI YAPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO WILAYANI TARIME, YAHIMIZA KUWAPELEKA SHULE

Na Frankius Cleophacee Tarime.

Serikali imepiga vita suala la Ajira kwa watoto wadogo ikiwemo kufanya biashara ndogondogo kwa watoto hao, badala yake wapelekwe shuleni na kuahidi kuwachukulia hatua kali wazazi na walezi watakaokiuka.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Halmashari ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambapo kiwilaya Wilaya ya Tarime Maadhimisho hayo yuamefanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Nyamongo katika Kata ya Matongo.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa amepiga vita suala la ajira kwa watoto hususani kufanya biashara ndogo katika Maeneo ya Stendi huku akipiga vita pia suala la Walimu Wa Shule za Sekondari na Msingi kufanya biashara katika Maeneo hayo.

Katika Maadhimisho hayo zimeweza kushiriki Tasisi mbalimbali Likiwemo Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF Tarime, ATFGM Masanga, Plan International,Muungano wa Jamii Tanzania MUJATA, Acacia North Mara pamoja na Viongozi wa Dini

Kambibi Kamugisha kutoka Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto na Valerian Mgani kutoka Shirika la ATFGM Masanga wanazidi kupaza sauti zao kwa jamii ili kutokomeza Suala la Ukeketaji kwa Mtoto wa Kike Wilayani Tarime huku wakiomba serikali Kuungana na Mashirika hayo kwa lengo la kupiga Vita suala la Ukeketaji kwa Mtoto wa kike.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mkoani Mara Apoo Castro Tindwa akizungumza mbele ye Wananchi (hawapo pichani) wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika,ndani ya viwanya vya shule ya sekondari Nyamongo wilayani Tarime .
Muwakilishi Kutoka Shirika la ATFGM Masanga,Valerian Mgani ambao wamekuwa wakipiga vita Ukatili katika jamii akiongea na Wananchi kwenye Maadhimisho hayo.
Muwakilishi Kutoka Shirika la Plan International , Shaban Shaban akizungumza mbele ya Wananchi katika Maadhimisho hayo.
Wanafunzi kutoka Shule za Msingi zinazozunguka Mgodi wa Uchimbaji wa Mawe ya Dhahabu ACACIA North Mara wakiwa katika Maadhimisho hayo ya Siku ya Mtoto wa Afrika,ndani ya viwanya vya shule ya sekondari Nyamongo wilayani Tarime .

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SERIKALI YAPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO WILAYANI TARIME, YAHIMIZA KUWAPELEKA SHULE

yaani makala yote SERIKALI YAPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO WILAYANI TARIME, YAHIMIZA KUWAPELEKA SHULE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO WILAYANI TARIME, YAHIMIZA KUWAPELEKA SHULE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/serikali-yapiga-vita-ajira-kwa-watoto.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YAPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO WILAYANI TARIME, YAHIMIZA KUWAPELEKA SHULE"

Post a Comment