title : MTIGWA SUGAR WATUMA UJUMBE MZITO AZAM FM
kiungo : MTIGWA SUGAR WATUMA UJUMBE MZITO AZAM FM
MTIGWA SUGAR WATUMA UJUMBE MZITO AZAM FM
Baada ya kuondoshwa katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Mtibwa Sugar ya Morogoro imeweka wazi kwamba hasira na nguvu zao wanaziweka kwenye ligi kuu ambapo wataanza kwenye mechi yao ya wiki hii dhidi ya Azam FC.Mtibwa walitupwa nje ya Kombe la Shirikisho na Waganda KCCA kwa jumla ya mabao 5-1 baada ya kufungwa kwenye mechi zote za nyumbani na ugenini.
Kocha wa Mtibwa, Zubeir Katwila amesema kwamba sasa macho yao yote wanaangalia kwenye mechi zao za ligi kuu ili kupata ushindi ikiwa ni baadaya kujifunza mambo mengi kwenye kombe hilo waliloshiriki.
“Sasa tunageukia ligi kuu na lengo ni kufanya vizuri katika kila mechi ikiwa ni baada ya kupata mambo mengi kwenye Kombe la Shirikisho ambapo tumeshiriki.
“Tunatambua kwamba ugumu ambao tutakutana nao kwenye mechi hiyo lakini kwa sababu tunataka kushinda tutajitahidi kupambana ili tutimize kile ambacho tunakitaka,” alisema.
Mtibwa wataikaribisha Azam FC inayofundishwa na Mholanzi Hans van Der Pluijm katika mechi itakayopigwa Uwanja wa Manungu, Morogoro
Hivyo makala MTIGWA SUGAR WATUMA UJUMBE MZITO AZAM FM
yaani makala yote MTIGWA SUGAR WATUMA UJUMBE MZITO AZAM FM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTIGWA SUGAR WATUMA UJUMBE MZITO AZAM FM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mtigwa-sugar-watuma-ujumbe-mzito-azam-fm.html
0 Response to "MTIGWA SUGAR WATUMA UJUMBE MZITO AZAM FM"
Post a Comment