UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR WA SHIKA KASI, MIFUKO 100 YA SARUJI YAKABIDHIWA, MAKONDA AWAOMBA WADAU KUENDELEA KUCHANGIA.

UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR WA SHIKA KASI, MIFUKO 100 YA SARUJI YAKABIDHIWA, MAKONDA AWAOMBA WADAU KUENDELEA KUCHANGIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR WA SHIKA KASI, MIFUKO 100 YA SARUJI YAKABIDHIWA, MAKONDA AWAOMBA WADAU KUENDELEA KUCHANGIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR WA SHIKA KASI, MIFUKO 100 YA SARUJI YAKABIDHIWA, MAKONDA AWAOMBA WADAU KUENDELEA KUCHANGIA.
kiungo : UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR WA SHIKA KASI, MIFUKO 100 YA SARUJI YAKABIDHIWA, MAKONDA AWAOMBA WADAU KUENDELEA KUCHANGIA.

soma pia


UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR WA SHIKA KASI, MIFUKO 100 YA SARUJI YAKABIDHIWA, MAKONDA AWAOMBA WADAU KUENDELEA KUCHANGIA.

Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mh.Paul Makonda  amepokea mifuko  ya Saruji elfu kumi kutoka Benki ya CRDB kwajili yaujenzi Wa ofisi 402 za waalimu kwa Mkoa wa DSM.

Akizungumza katika hafla hiyo yaupokeaji wa mifuko hiyo ya Saruji ambayo imefanyika  kwenye   kambi ya Jeshi Mgulani Mkuu wa Mkoa wa Dsm Mh.

Paul  Makonda ameseendelea kuishukuru CRDB Bank kwakuendelea kuunga mkono juhudi za ujenzi wa ofisi za Waalimu na kupitia dawati ambalo wamelianzisha la uchangiaji ujenzi huo anaimani kwamba utaleta tija kwa watanzania na hususani kwa wakazi wa Mkoa wa Dsm.

Nae Kamanda wa Kikosi wa JKt  Mgulani Luteni Kanali Zakaria Godfrey Kitan pamoja na kuhaidi kuendelea kutunza vifaa vyote vya ujenzi ambavyo vinahifadhiwa kwenye kambi hiyo wamehaidi kuuendelea kuunga mkono juhudi zote za ujenzi wa ofisi 402 za waalimu.


Kwaupande wake  Makamu Mwenyekiti wa Ujenzi wa Ofisi za waalimu kwa mkoa wa Dsm ACP Solomon Urio amesema hatua hiyo inaonyesha jinsi gani watanzania wanavyounga mkono juhudi za serikali.

Mifuko hiyo elfu kumi ya simenti ambayo imetolewa na Benki ya  CRDB  kwa Mkuu wa Mkoa wa Dsm katika kuunga mkono juhudi za serikali kwenye ujenzi wa ofisi 402 za waalimu imegharimu kiasi cha shilingi milioni 100.


Hivyo makala UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR WA SHIKA KASI, MIFUKO 100 YA SARUJI YAKABIDHIWA, MAKONDA AWAOMBA WADAU KUENDELEA KUCHANGIA.

yaani makala yote UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR WA SHIKA KASI, MIFUKO 100 YA SARUJI YAKABIDHIWA, MAKONDA AWAOMBA WADAU KUENDELEA KUCHANGIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR WA SHIKA KASI, MIFUKO 100 YA SARUJI YAKABIDHIWA, MAKONDA AWAOMBA WADAU KUENDELEA KUCHANGIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/ujenzi-ofisi-za-walimu-dar-wa-shika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR WA SHIKA KASI, MIFUKO 100 YA SARUJI YAKABIDHIWA, MAKONDA AWAOMBA WADAU KUENDELEA KUCHANGIA."

Post a Comment