Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB achaguliwa kuwa mwenyekiti wa umoja wa Mabenki Tanzania

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB achaguliwa kuwa mwenyekiti wa umoja wa Mabenki Tanzania - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB achaguliwa kuwa mwenyekiti wa umoja wa Mabenki Tanzania, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB achaguliwa kuwa mwenyekiti wa umoja wa Mabenki Tanzania
kiungo : Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB achaguliwa kuwa mwenyekiti wa umoja wa Mabenki Tanzania

soma pia


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB achaguliwa kuwa mwenyekiti wa umoja wa Mabenki Tanzania

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Bernerd Kibese (wa pili kulia) akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa Umoja wa Mabenki Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela baada ya kuchaguliwa kushika wadhifa huo, jana kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Umoja huo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartted , Sunjay Rughani, na wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mabenki Tanzania, Tusekelege Mwaikasu-Jounde.
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Bernerd Kibese akifurahi jambo na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartted , Sunjay Rughani. Katikati ni Mwenyekiti Mpya wa Umoja huo ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela 
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Bernerd Kibese akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wanachama wa Umoja wa Mabenki Tanzania, baada ya kikao chao kilichofanyika jana kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Katika kikao hicho kulifanyika uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu wake ambapo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela aliibuka mshindi na kuchukua kijiti cha Mwenyekiti wa Umoja huo, huku nafasi ya Makamu ikichukuliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartted , Sunjay Rughani.


Hivyo makala Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB achaguliwa kuwa mwenyekiti wa umoja wa Mabenki Tanzania

yaani makala yote Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB achaguliwa kuwa mwenyekiti wa umoja wa Mabenki Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB achaguliwa kuwa mwenyekiti wa umoja wa Mabenki Tanzania mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mkurugenzi-mtendaji-wa-benki-ya-crdb.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB achaguliwa kuwa mwenyekiti wa umoja wa Mabenki Tanzania"

Post a Comment