NAHODHA WA SERENGETI BOYS ATIMKIA DENMARK KUKIPIGA KABUMBU

NAHODHA WA SERENGETI BOYS ATIMKIA DENMARK KUKIPIGA KABUMBU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAHODHA WA SERENGETI BOYS ATIMKIA DENMARK KUKIPIGA KABUMBU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAHODHA WA SERENGETI BOYS ATIMKIA DENMARK KUKIPIGA KABUMBU
kiungo : NAHODHA WA SERENGETI BOYS ATIMKIA DENMARK KUKIPIGA KABUMBU

soma pia


NAHODHA WA SERENGETI BOYS ATIMKIA DENMARK KUKIPIGA KABUMBU

Na Agness Francis, Blogu ya Jamii
MCHEZAJI wa kikosi cha Serengeti boys  Maurice Abraham ameanza majaribio katika klabu ya Midtjylland  nchini Denmark, ambao ndio mabingwa wa ligi kuu msimu uliopita 2017-18 nchini humo.

Ambapo Klabu hiyo ya Midtjylland ni matokeo ya  vilabu viwili mahasimu (Ikast na Herning) vilivyomua kuungana mwaka 1999 na kuunda klabu moja  iliyipanda daraja kucheza ligi kuu ya Denmark Danish Superliga  Mwaka 2000.

 Klabu hiyo  katika msimu wa 2014-15 ndio ilishinda taji la Danish Superliga kwa mara ya kwanza kabla ya kushinda tena taji  hilo mara ya pili msimu huo uliopita. 

Maurice a.k.a chuji ambaye ni Nahodha wa timu ya Taifa ya vijana U-17 alipata mualiko kutoka nchini Denmark kufanya majaribio katika klabu ya Midtjylland baada kuonyesha kiwango cha juu mno katika michuano ya kuwania Afcon 2019 kanda ya Cecafa ambapo Serengeti ilimaliza ikiwa imeshikilia nafasi ya tatu. 

Kocha mkuu wa Serengeti boys Oscar Mirambo ambaye pia ni kaimu mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, amesema kuwa  Chuji aliondoka Oktoba 7  ambapo alipata mualiko wa  kwenda nchini Denmark  kwa ajili ya majaribio. 

"Nyota wengi wa kikosi hicho cha vijana ambao ndio wenyeji wa fainali Za Afcon 2019 watakaondoka kwa utaratibu Kama uliofanywa kwa Maurice"amesema Mirambo. 

Kocha mirambo amesema "mialiko ipo mingi na baadhi ya wachezaji ila siwezi kusema nani anafuata sasa, lakini Maurice ameanza na tunasubiri taratibu  zikamilike kwa wengine ndipo tutaweka wazi"


Hivyo makala NAHODHA WA SERENGETI BOYS ATIMKIA DENMARK KUKIPIGA KABUMBU

yaani makala yote NAHODHA WA SERENGETI BOYS ATIMKIA DENMARK KUKIPIGA KABUMBU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAHODHA WA SERENGETI BOYS ATIMKIA DENMARK KUKIPIGA KABUMBU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/nahodha-wa-serengeti-boys-atimkia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAHODHA WA SERENGETI BOYS ATIMKIA DENMARK KUKIPIGA KABUMBU"

Post a Comment