Wananachi wa Mikoa ya Nyanda za juu kusini watakiwa kushiriki maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji

Wananachi wa Mikoa ya Nyanda za juu kusini watakiwa kushiriki maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wananachi wa Mikoa ya Nyanda za juu kusini watakiwa kushiriki maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wananachi wa Mikoa ya Nyanda za juu kusini watakiwa kushiriki maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji
kiungo : Wananachi wa Mikoa ya Nyanda za juu kusini watakiwa kushiriki maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji

soma pia


Wananachi wa Mikoa ya Nyanda za juu kusini watakiwa kushiriki maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limewataka wananchi wa Mikoa Nyanda za Juu Kusini kushiriki maonyesho ya bidhaa za wajasiriamali na huduma za mitaji yatakayo fanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe mjini Mbeya kuanzia tarehe 19 hadi 23, Octoba, 2018 ili kujionea fursa za uwezeshaji kuelekea katika uchumi wa viwanda.

Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Bi. Beng’i Issa alisema hayo jana jijini Dar es Salaam kuwa maonyesho hayo hayo ni ya bidhaa za wajasiriamali na huduma za mitaji na yatafunguliwa na Waziri Kassim Majaliwa Octoba 20, 2018 na ambayo yanalenga kunadi fursa za uwezeshaji.

“Maonyesho haya yatawezesha upanuaji wa wigo wa masoko ya wajasiriamali wanaotengeneza bidhaa za mikono kwa kutumia mali ghafi za Tanzania,” na hiyo inatoa hamasa kwa wananchi kujikita katika viwanda vidovidogo.

Baraza limeshirikiana na Mifuko ya Uwezeshaji, Vikundi vya kifedha na program za serikali za uwezeshaji kuandaa maonyesho hayo na yatafungwa na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji, Bw. Charales Mwijage, aliongeza kusema,Bi. Issa. 
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Bengi Issa wa pili kushoto akisisitiza jambo wakati walipokuwa akizungumza kuhusu maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji, Taasisi za Vikundi vya Kifedha na program za uwezeshaji yatakayo fanyika Viwanja vya Ruanda Nzovwe Mbeya kuanzia tarehe 19 hadi 23 octoba 2018, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Kusaidia Sekta Binafsi ya Kilimo (PASS), Bw. Nicomed Bohay, kushoto mwakilishi wa IR-VICOBA, Bi. Augustina Mosha na wa pili kusho ni Mwenyekiti wa VICOBA FETA,Bw. Filbert Sambali. (Picha na Mpiga Picha wetu, Dar es Salaam).


Hivyo makala Wananachi wa Mikoa ya Nyanda za juu kusini watakiwa kushiriki maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji

yaani makala yote Wananachi wa Mikoa ya Nyanda za juu kusini watakiwa kushiriki maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wananachi wa Mikoa ya Nyanda za juu kusini watakiwa kushiriki maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/wananachi-wa-mikoa-ya-nyanda-za-juu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wananachi wa Mikoa ya Nyanda za juu kusini watakiwa kushiriki maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji"

Post a Comment