KAMPUNI YAZINDUA SMART MAUZO KULETA UAMINIFU KATI YA MMILIKI NA MSIMAMIZI KIBIASHARA

KAMPUNI YAZINDUA SMART MAUZO KULETA UAMINIFU KATI YA MMILIKI NA MSIMAMIZI KIBIASHARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI YAZINDUA SMART MAUZO KULETA UAMINIFU KATI YA MMILIKI NA MSIMAMIZI KIBIASHARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI YAZINDUA SMART MAUZO KULETA UAMINIFU KATI YA MMILIKI NA MSIMAMIZI KIBIASHARA
kiungo : KAMPUNI YAZINDUA SMART MAUZO KULETA UAMINIFU KATI YA MMILIKI NA MSIMAMIZI KIBIASHARA

soma pia


KAMPUNI YAZINDUA SMART MAUZO KULETA UAMINIFU KATI YA MMILIKI NA MSIMAMIZI KIBIASHARA

 Khadija Seif,Globu ya jamii
KAMPUNI ya Oval Technical Limited wametambulisha  application mpya ya kibiashara inayojulikana kama SMART MAUZO kwa lengo la kukabiliana na changamoto za kibiashara.

Meneja Mauzo wa kampuni hiyo Hamza Mohamed amesema leo jijini Dar es Salaam amesema  lengo la kuanzishwa kwa mfumo huo kuwa kumekuepo kwa changamoto nyingi nchini zinazowakabili wafanyabiashara.

Ametaja baadhi ya changamoto kama kutohifadhi taarifa sahihi za mauzo ya bidhaa zao na kupelekea kupata hasara katika biashara zao.

Pia amesema changamoto nyingine ni kutokua na uaminifu baina ya mmiliki na msimamizi kutofahamu idadi ya manunuzi yanayofanyika kila siku,wiki,mwezi Kwenye duka .

Mohammed amesema mfumo  huo utawawezesha wafanyabiashara wengi nchini kutatua changamoto zao na mpaka sasa zaidi ya wanafanyabiashara 200 wamejisajiri na huduma hiyo ya Smart Mauzo.

Aidha amesema , kujiunga na mfumo huo unaingia kwenye uwanja wa kupakua huduma za kimtandao na kuandika www.smartMauzo.com na kisha kulipia huduma hiyo kwa kiasi cha Sh.5000 za kitanzania na kwa mwezi na ukishasajiriwa utaweza kulipia Sh.3000 kwa kila mwezi.

Ametoa rai kwa ambao hawajajisajiri waweze kujisajiri ili kuleta chachu katika sekta ya biashara kwani kuna msemo usemao mali bila daftari huisha bila habari, hivyo basi daftari hilo ni mtandao huo ambao utawezesha kuandika kila taarifa ya manunuzi pamoja na bidhaa zilizodukani.
Meneja masoko kampuni ya oval technique limited Hamza Mohammed akizungumza na wanahabari wakati akitambulisha huduma ya smart Mauzo jijini Dar es salaam.


Hivyo makala KAMPUNI YAZINDUA SMART MAUZO KULETA UAMINIFU KATI YA MMILIKI NA MSIMAMIZI KIBIASHARA

yaani makala yote KAMPUNI YAZINDUA SMART MAUZO KULETA UAMINIFU KATI YA MMILIKI NA MSIMAMIZI KIBIASHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YAZINDUA SMART MAUZO KULETA UAMINIFU KATI YA MMILIKI NA MSIMAMIZI KIBIASHARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/kampuni-yazindua-smart-mauzo-kuleta.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI YAZINDUA SMART MAUZO KULETA UAMINIFU KATI YA MMILIKI NA MSIMAMIZI KIBIASHARA"

Post a Comment