JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LATOA ELIMU YA UOKOZI KWA ABIRIA UBUNGO STENDI

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LATOA ELIMU YA UOKOZI KWA ABIRIA UBUNGO STENDI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LATOA ELIMU YA UOKOZI KWA ABIRIA UBUNGO STENDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LATOA ELIMU YA UOKOZI KWA ABIRIA UBUNGO STENDI
kiungo : JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LATOA ELIMU YA UOKOZI KWA ABIRIA UBUNGO STENDI

soma pia


JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LATOA ELIMU YA UOKOZI KWA ABIRIA UBUNGO STENDI

 Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkoa wa Temeke, Mrakibu Msaidizi Puyo Nzalayaimisi, akitoa Elimu ya Uokozi kwa abiria katika Stendi ya Ubungo wanaosafiri kwenda sehemu mbalimbali nchini katika kipindi hiki cha Sikukuu za Mwisho wa Mwaka.Jeshi hilo linatoa elimu hiyo ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza safarini
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkoa wa Temeke, Mrakibu Msaidizi Puyo Nzalayaimisi, akionyesha kifaa maalumu cha kuzimia moto kwa abiria katika Stendi ya Ubungo wanaosafiri kwenda sehemu mbalimbali nchini katika kipindi hiki cha Sikukuu za Mwisho wa Mwaka.Jeshi hilo linatoa elimu hiyo ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza safarini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini limeanza kutoa elimu ya Uokozi kwa abiria wanaosafiri kwenda mikoa mbalimbali nchini ikiwa ni mkakati wa kupunguza majanga pindi inapotokea dharura pale vyombo vya usafiri vinapopata matatizo njiani.
Akitoa elimu hiyo katika mabasi mbalimbali Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkoa wa Temeke, Mrakibu Msaidizi Puyo Nzalayaimisi, alisema jeshi limejipanga kutoa elimu katika stendi za mikoa mbalimbali nchini hasa baada ya abiria wengi kutoelewa elimu ya uokoaji pindi yanapotokea majanga njiani.
“Tunahudumia Watanzania na tunapenda kuona wananchi wanaenda kushuerehekea Sikukuu za mwisho wa mwaka  na wanarejea katika maeneo yao salama,na sisi kama jeshi tutahakikisha askari wetu wanakuwepo kazini masaa ishirini na nne ili watoe msaada pale utakapohitajika” alisema Kamanda Puyo
Wakizungumza kwa nyakati tofauti abiria wanaosafiri kwenda sehemu mbalimbali nchini wamesema wanashukuru kuona jeshi la zimamoto limejiongeza na hii  ndio inavyotakiwa kwani kumekua na majanga mengi njiani yanayosababisha watu kupoteza maisha.
“Hatukua na elimu ya kukabiliana na majanga pindi yanapotokea, tunarishukuru jeshi kwa kutoa elimu hiyo na tunaomba waendelee na utaratibu huo sio katika kipindi hiki cha sikukuu tu bali iwe programu endelevu” alisema Ayoub Mtekela


Hivyo makala JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LATOA ELIMU YA UOKOZI KWA ABIRIA UBUNGO STENDI

yaani makala yote JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LATOA ELIMU YA UOKOZI KWA ABIRIA UBUNGO STENDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LATOA ELIMU YA UOKOZI KWA ABIRIA UBUNGO STENDI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/jeshi-la-zimamoto-na-uokoaji-latoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LATOA ELIMU YA UOKOZI KWA ABIRIA UBUNGO STENDI"

Post a Comment