title : Kuwasili Kwa Ndege ya Mpya ya Airbus 220-300 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
kiungo : Kuwasili Kwa Ndege ya Mpya ya Airbus 220-300 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Kuwasili Kwa Ndege ya Mpya ya Airbus 220-300 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mmoja wa Marubani Kapteni Pandya aliyekuja na ndege hiyo mara baada ya kuwasili katika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya ndege na Mkewe Janeth Magufuli ,Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,Spika wa Bunge Job Ndugai,Balozi wa Canada Pamela O’donnel ,Katibu mkuu kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Airbus 220-300 ambayo imenunuliwa na Serikali.Hafla iliyofanyika katika Uwanja ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)

Hivyo makala Kuwasili Kwa Ndege ya Mpya ya Airbus 220-300 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
yaani makala yote Kuwasili Kwa Ndege ya Mpya ya Airbus 220-300 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kuwasili Kwa Ndege ya Mpya ya Airbus 220-300 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/kuwasili-kwa-ndege-ya-mpya-ya-airbus.html
0 Response to "Kuwasili Kwa Ndege ya Mpya ya Airbus 220-300 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere."
Post a Comment