title : WATOTO WENYE SARATANI WALA KRISMASS NA WAFANYAKAZI WA SOUTHERN SUN HOTEL
kiungo : WATOTO WENYE SARATANI WALA KRISMASS NA WAFANYAKAZI WA SOUTHERN SUN HOTEL
WATOTO WENYE SARATANI WALA KRISMASS NA WAFANYAKAZI WA SOUTHERN SUN HOTEL
Wafanyakazi wa hoteli ya Southern Sun wakishiriki michezo na wazazi wa watoto wenye saratani wanaopata matibabu kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili, katika Taasisi ya Tumaini la Maisha Tanzania jijini Dar es Salaam leo, baada ya kupata mlo wa mchana. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)
Father Christmas akitoa zawadi mmoja wa wazazi wa watoto wenye saratani wanaopata matibabu kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili, katika Taasisi ya Tumaini la Maisha Tanzania jijini Dar es Salaam leo, baada ya kupata mlo wa mchana.
Father Christmas akitoa mhudumu wa watoto wenye saratani wanaopata matibabu kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili, katika Taasisi ya Tumaini la Maisha Tanzania jijini Dar es Salaam leo, baada ya kupata mlo wa mchana.
Father Christmas akitoa zawadi mmoja wa wazazi wa watoto wenye saratani wanaopata matibabu kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili, katika Taasisi ya Tumaini la Maisha Tanzania jijini Dar es Salaam leo, baada ya kupata mlo wa mchana.
Father Christmas akitoa zawadi mmoja mfanyakazi wa kujitolea kutoka nchini Marekani, Christine Corcoran katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na wafanyakazi wa Hoteli ya Southern Sun kwa watoto wenye saratani wanaopata matibabu kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili, katika Taasisi ya Tumaini la Maisha Tanzania jijini Dar es Salaam leo, baada ya kupata mlo wa mchana.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala WATOTO WENYE SARATANI WALA KRISMASS NA WAFANYAKAZI WA SOUTHERN SUN HOTEL
yaani makala yote WATOTO WENYE SARATANI WALA KRISMASS NA WAFANYAKAZI WA SOUTHERN SUN HOTEL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATOTO WENYE SARATANI WALA KRISMASS NA WAFANYAKAZI WA SOUTHERN SUN HOTEL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/watoto-wenye-saratani-wala-krismass-na.html
0 Response to "WATOTO WENYE SARATANI WALA KRISMASS NA WAFANYAKAZI WA SOUTHERN SUN HOTEL"
Post a Comment