Biteko afungua Ofisi ya Madini Mahenge mkoani Morogoro

Biteko afungua Ofisi ya Madini Mahenge mkoani Morogoro - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Biteko afungua Ofisi ya Madini Mahenge mkoani Morogoro, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Biteko afungua Ofisi ya Madini Mahenge mkoani Morogoro
kiungo : Biteko afungua Ofisi ya Madini Mahenge mkoani Morogoro

soma pia


Biteko afungua Ofisi ya Madini Mahenge mkoani Morogoro



Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Ofisi ya Afisa Migodi Mkazi Mahenge-Ulanga mkoani Morogoro, jana Disemba 14, 2018. Wanaoshuhudia ni viongozi mbalimbali wa Serikali, Tume ya Madini pamoja na wachimbaji madini.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko akisaini kitabu cha wageni baada ya kufungua ofisi ya Afisa Migodi Mkazi Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro. Aliyesimama ni mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga.
Mkuu wa Wilaya Ulanga, Ngolo Malenya akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Afisa Migodi Mkazi wilayani humo.
Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko (wa tatu), Mkuu wa Wilaya Ulanga, Ngolo Malenya (wa pili kulia),  Kamishna wa Madini kutoka Tume ya Madini, Dkt. Athanas Macheyeke (wa kwanza kushoto), Mbunge Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga (wa pili kushoto) pamoja na Afisa Migodi Mkazi Wilaya ya Ulanga, Tandu Jilabi (wa kwanza kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa ofisi hiyo.
Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wakiwemo wa Serikali, Tume ya Madini pamoja na wachimbaji madini wilayani Ulanga.



Hivyo makala Biteko afungua Ofisi ya Madini Mahenge mkoani Morogoro

yaani makala yote Biteko afungua Ofisi ya Madini Mahenge mkoani Morogoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Biteko afungua Ofisi ya Madini Mahenge mkoani Morogoro mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/biteko-afungua-ofisi-ya-madini-mahenge.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Biteko afungua Ofisi ya Madini Mahenge mkoani Morogoro"

Post a Comment