Kijana wa miaka 18 akabidhiwa milioni 10 za Biko Ukerewe Mwanza

Kijana wa miaka 18 akabidhiwa milioni 10 za Biko Ukerewe Mwanza - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kijana wa miaka 18 akabidhiwa milioni 10 za Biko Ukerewe Mwanza, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kijana wa miaka 18 akabidhiwa milioni 10 za Biko Ukerewe Mwanza
kiungo : Kijana wa miaka 18 akabidhiwa milioni 10 za Biko Ukerewe Mwanza

soma pia


Kijana wa miaka 18 akabidhiwa milioni 10 za Biko Ukerewe Mwanza

Na Ripota Wetu, Mwanza.

Kijana mdogo mwenye umri wa miaka 18 tu kutokea kisiwani Ukerewe, mkoani Mwanza, anayejihusisha na ujasiriamali, Cathbert Masanal, amekabidhiwa fedha sake alizoshinda kutoka kwenye Bahati nasibu ya Watanzania ya Biko, akitokea kwenye droo ya 177 ijulikanayo kama Jumatamu Jenga.

Makabidhiano hayo yamefanyika jijini Mwanza kwa kumpatia mamilioni yake mshindi huyo aliyeanza rasmi harakati zake za kimaisha kwasababu ya kuingia kwenye umri wa ujana wa miaka 18, hivyo ni wazi ameanza vizuri kwenye mbio hizo za kimaisha.

Akizungumzia ushindi wake huo, Manasal alisema kushinda fedha za biko kutarahisisha maisha yake kwa kuhakikisha kwamba anafanyia kitu cha maana ili ushindi huo uweze kumnufaisha kwa namna moja ama nyingine.

Kucheza Biko sasa ni kuanzia sh 500 na sh 1000 na kuendelea, huku ushindi wake ukianzia sh 1000 hadi sh 100000 kwa watakaocheza sh 500 hadi sh 9500 wakati watakaocheza kwa sh 1000 na kuendelea, mchezaji anaweza kujishindia zawadi ya papo kwa hapo kuanzia sh 5000 hadi sh milioni moja bila kusahau wote kuingia kwenye droo kubwa ya Jumatano na Jumapili.

Bahati nasibu ya Biko inachezwa kwa mitandao ya simu minne ambayo ni Tigo Pesa, M-Pesa, Artel Money na HaloPesa, ambapo namba ya Kampuni ni 505050 na kumbukumbu namba 2456, huku Watanzania wakiweza kujishindia zawadi kubwa katika droo ya Jumatano na Jumapili.
 Kijana mwenye miaka 18 tu kutoka Kazilankanda, wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza, Cathbert Marco Masanal, akionyesha pozi baada ya kukabidhiwa fedha zake sh milioni 10 alizoshinda katika bahati nasibu ya Watanzania ya Biko droo ya 177 maarufu kama Jumatamu Jenga iliyotoa washindi sita wa mamilioni na bodaboda. Picha na Mpigapicha Wetu.
 


Hivyo makala Kijana wa miaka 18 akabidhiwa milioni 10 za Biko Ukerewe Mwanza

yaani makala yote Kijana wa miaka 18 akabidhiwa milioni 10 za Biko Ukerewe Mwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kijana wa miaka 18 akabidhiwa milioni 10 za Biko Ukerewe Mwanza mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/kijana-wa-miaka-18-akabidhiwa-milioni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kijana wa miaka 18 akabidhiwa milioni 10 za Biko Ukerewe Mwanza"

Post a Comment