AskofuKKKT Akerwa na Wingi wa Talaka

AskofuKKKT Akerwa na Wingi wa Talaka - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AskofuKKKT Akerwa na Wingi wa Talaka, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AskofuKKKT Akerwa na Wingi wa Talaka
kiungo : AskofuKKKT Akerwa na Wingi wa Talaka

soma pia


AskofuKKKT Akerwa na Wingi wa Talaka

 
 
Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Alex Malasusa amedai kuwa kwa sasa jamii imekosa hali ya upendo hali inayosababisha kuongezeka kwa matukio ya mahusiano mengi kuvunjika.

Askofu Malasusa amesema kauli hiyo Desemba 25, 2018  katika ibada ya Krismasi iliyofanyika katika Kanisa la Azania Front jijini Dar es Salaam ambapo amesema wana ndoa wengi wanahofu na mahusiano.
 
 “Siku hizi talaka zimezidi jamii haina upendo wala hofu ya Mungu, hofu imejaa katika ulimwengu, wengi waliopo katika ndoa hawana hakika kama wataendelea,’’ amesema.

Aidha ameongeza kuwa “malaika anasema usiogope nitawaletea habari njema, tena katika aya yetu ya siku ya leo tunasema tumepewa mtoto mwanamume, yeye yupo tayari kubadilisha mitazamo yetu kutuondoa katika hofu na kuwa wajasiri katika maisha yetu.”

Mamilioni ya waumini wa dini ya kikristo Duniani leo Desemba 25 wanaadhimisha sikukuu ya Krismasi ikiwa kukumbuka ya siku ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo.


Hivyo makala AskofuKKKT Akerwa na Wingi wa Talaka

yaani makala yote AskofuKKKT Akerwa na Wingi wa Talaka Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AskofuKKKT Akerwa na Wingi wa Talaka mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/askofukkkt-akerwa-na-wingi-wa-talaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AskofuKKKT Akerwa na Wingi wa Talaka"

Post a Comment