TULIA TRUST YAWAPA FURSA VIJANA YA KUSOMA NJE YA NCHI

TULIA TRUST YAWAPA FURSA VIJANA YA KUSOMA NJE YA NCHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TULIA TRUST YAWAPA FURSA VIJANA YA KUSOMA NJE YA NCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TULIA TRUST YAWAPA FURSA VIJANA YA KUSOMA NJE YA NCHI
kiungo : TULIA TRUST YAWAPA FURSA VIJANA YA KUSOMA NJE YA NCHI

soma pia


TULIA TRUST YAWAPA FURSA VIJANA YA KUSOMA NJE YA NCHI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Taasisi ya Tulia Trust inayojihusisha na masuala ya Afya na Elimu nchini imeweza kuwasaidia watoto mbalimbali wanaoishi katika mazingira magumu na wengine kutoa fursa kwa vijana watano (5) kwenda kuendelea na elimu yao ya Sekondari Nchini Nigeria.

Tulia Trust ni shirika lisilo la kiserikali Trust lilianzishwa mwaka 2015 na Mheshimiwa. Dk. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, Balozi wa Tulia Trust Dotto Bernad Bwakeya ' Lameck Ditto" amesema kuwa katika kuchangia na kusaidia sekta ya Elimu Tulia Trust imetoa nafasi ya pekee kwa vijana watano (5) ambao watakwenda kuendelea na masomo ya sekondari Nchini Nigeria katika Taasisi ya Rochas Foundation College of Africa.

Ditto amesema Kupitia ziara mbalimbali za Dkt. Tulia katika Shule za Sekondari mkoani Mbeya alifanikiwa kukutana na kuunganishwa na vijana hao ambao wengi wao wanatoka katika hali duni kiuchumi, yatima na wengi wao wanalelewa na mzazi mmoja au ndugu. 

Amesema jitihada zilizofanywa na Tulia Trust ni kuhakikisha vijana hawa ambao kielimu wamekua wakifanya vizuri achilia mbali changamoto walizonazo kiuchumi na waliweza kufaulu vizuri mitihani ya darasa la saba ni kuwapatia msaada wa kielimu kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.
 Balozi wa taasisi ya Tulia Trust, Dotto Bernad 'Ditto' akDitto'mza  na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar as Salaam, juu ya Taasisi ya Tulia Trust inavyolenga katika kuwasaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na kutoa fursa kwa vijana watano  kwenda kusoma elimu ya  sekondari nchi ya Nigeria.(Picha zote na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
 Mlezi wa mtoto Anna Bernad, Mzee Lupyuto Mwamakula akizungumza na waandishi wa habari  leo jijini Dar as Salaam,ambapo ameishukuru Taasisi ya Tulia Trust kwa kumpeleka kijana wake  kusoma nchi Nigeria.


Hivyo makala TULIA TRUST YAWAPA FURSA VIJANA YA KUSOMA NJE YA NCHI

yaani makala yote TULIA TRUST YAWAPA FURSA VIJANA YA KUSOMA NJE YA NCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TULIA TRUST YAWAPA FURSA VIJANA YA KUSOMA NJE YA NCHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/tulia-trust-yawapa-fursa-vijana-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TULIA TRUST YAWAPA FURSA VIJANA YA KUSOMA NJE YA NCHI"

Post a Comment