WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI

WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI
kiungo : WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI

soma pia


WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Msanii wa Filamu nchini Bi.Wastara Juma (kulia) alipofika ofisini kwake leo jijini Dodoma kwa ajili ya kumshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na Serikali kwa ujumla kwa michango waliyotoa kufanikisha matibabu yake yaliyofanyika nchini India katika hospitali ya Saifee.

Msanii wa Filamu nchini Bi.Wastara Juma (kulia) akitoa shukrani zake Kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe za kumshuruku Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kwa msaada aliyoutoa kwake kufanikisha matibabu yake ya mguu yaliyofanyika nchini India katika hospitali ya Saifee Februari mwaka huu ambapo alieleza kwa sasa afya yake imeimarika.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (kulia) akiwa katika picha ya pamoja msanii wa filamu nchini Bi.Wastara Juma (katikati) alipofika ofisini leo Jijini Dodoma kwa ajili ya kutoa shukrani zake kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na Serikali kwa kumsaidia kufanikisha matibabu yake ya mguu yaliyofanyika nchini India, Februari mwaka huu katika hospitali ya Saifee kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa Bw.Francis Songoro.


Hivyo makala WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI

yaani makala yote WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/wastara-amshukuru-rais-dk-magufuli.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI"

Post a Comment