title : RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKIWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI KENYA ALIPOKUWA AKIHUDHURIA MKUTANO WA BLUE ECONOMY
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKIWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI KENYA ALIPOKUWA AKIHUDHURIA MKUTANO WA BLUE ECONOMY
RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKIWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI KENYA ALIPOKUWA AKIHUDHURIA MKUTANO WA BLUE ECONOMY
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Kenya alipokuwa akihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu wa Bahari (Blue Economy).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa CCM Zanzibar alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Kenya alipokuwa akihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu wa Bahari(Blue Economy).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi na Wazee waliofika kumpokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume Zanzibar, akitokea Nchini Kenya alipokuwa akihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu (Blue Economy)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Serikali na Binafsi, kuhusiana na ziara yake Nchini Kenya alipokuwa akihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu wa Bahari,(Blue Economy) kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kulia Waziri wa Kilimo Maliasi Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Rashid Ali Juma.akiwa katika ukumbi wa VIP Zanzibar. (Picha na Ikulu)

Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKIWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI KENYA ALIPOKUWA AKIHUDHURIA MKUTANO WA BLUE ECONOMY
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKIWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI KENYA ALIPOKUWA AKIHUDHURIA MKUTANO WA BLUE ECONOMY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKIWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI KENYA ALIPOKUWA AKIHUDHURIA MKUTANO WA BLUE ECONOMY mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/rais-wa-zanzibar-dkt-shein-akiwasili.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKIWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI KENYA ALIPOKUWA AKIHUDHURIA MKUTANO WA BLUE ECONOMY"
Post a Comment