Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yakaribisha Wadau Kufungua Akauti Katika Banda lao Maonesho Sabasaba Dar.

Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yakaribisha Wadau Kufungua Akauti Katika Banda lao Maonesho Sabasaba Dar. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yakaribisha Wadau Kufungua Akauti Katika Banda lao Maonesho Sabasaba Dar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yakaribisha Wadau Kufungua Akauti Katika Banda lao Maonesho Sabasaba Dar.
kiungo : Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yakaribisha Wadau Kufungua Akauti Katika Banda lao Maonesho Sabasaba Dar.

soma pia


Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yakaribisha Wadau Kufungua Akauti Katika Banda lao Maonesho Sabasaba Dar.

 Afisa Masoko  PBZ Bank, Anas  Rashid Ramadhani akizungumza na wateja juu ya huduma za mikopo na ufungaji wa akaunti katika benki hiyo pamoja na ununuzi wa Viwanja kwa njia ya mkopo ambao utalipwa ndani ya miaka 10 wakati wa Maonyesho ya Sabasaba
 Afisa Teknohama wa Islamic Benki ya PBZ ,Rahma Ali akizungumza na mmoja  wateja waliofika katika banda lao la Maonyesho lililopo katika Viwanja  vya Maonyesho ya Sabasaba  ambapo benki hiyo inawezesha kufungua akaunti ya Islamic benki na kuwezesha kupata mkopo usiokuwa na riba.  
Wafanyakazi wa PBZ ,Hamyer Said na Biubwe Vuai wakimuelekeza mteja aliyefika katika banda hilo faida za Islamic Bank
Afisa Mahusiano wa PBZ -Bank LTD ,Aisha  Ali Mohd akizungumza na mmoja wa wadau waliofika katika banda la PBZ kupata maelekezo namna ya kufungua  Akaunti kwenye benki hiyo
Salehe Abdalah akizungumza na mmoja wa wateja waliofika katika banda la Benki  ya watu wa Zanzibar PBZ kutaka kufungua akaunti wkati wa Maonesho ya Sabasaba.


Hivyo makala Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yakaribisha Wadau Kufungua Akauti Katika Banda lao Maonesho Sabasaba Dar.

yaani makala yote Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yakaribisha Wadau Kufungua Akauti Katika Banda lao Maonesho Sabasaba Dar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yakaribisha Wadau Kufungua Akauti Katika Banda lao Maonesho Sabasaba Dar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/benki-ya-watu-wa-zanzibar-pbz.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yakaribisha Wadau Kufungua Akauti Katika Banda lao Maonesho Sabasaba Dar."

Post a Comment