BENKI YA ABC YAWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA JAMII

BENKI YA ABC YAWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA JAMII - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA ABC YAWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA JAMII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA ABC YAWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA JAMII
kiungo : BENKI YA ABC YAWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA JAMII

soma pia


BENKI YA ABC YAWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA JAMII

Na Vero Ignatus, Arusha.

Benki ya ABC tawi la Arusha imeendelea na juhudi za kuwekeza kwenye maendeleo ya jamii kwa kutoa mikopo kwa wajasiriamali ,kusaidia jamii kupata bima za afya ili kuharakisha maendeleo ya jamii ya Kitanzania.

Meneja wa Benji hiyo tawi la Arusha Magabe Nyambuche amesema kuwa kwa mwaka 2019 Benji hiyo imejipanga kutoa mikopo kwa Vikundi maalumu ikiwemo Vicoba na Sacco's ambao wamekua wakipewa mafunzo na Maafisa Wa Ustawi wa jamii ili waweze kunufaika na mikopo kwa kufanya shughuli za uzalishaji Mali.

Magabe alisema kuwa benki hiyo limekua karibu na jamii na kuwafikia wananchi walioko vijijini kupitia ubunifu wa kutoa huduma za kifedha kwa njia ya mtandao ambapo benki hiyo ilipewa tuzo ya Ubunifu.

"Kwa sasa tuna mawakala 250 ambao wanahakikisha kuwa wateja wetu wanafikiwa na huduma za kifedha popote pale walipo" Anaeleza Meneja hiyo

Hata hivyo benki hiyo imedhamini mkutano mkuu wa Wadau wa maendeleo ya jamii unaondelea jijini Arusha ikiwa ni juhudi mojawapo ya kuisaidia jamii ambayo hunufaika na Utaalamu wa Maafisa wa Maendeleo katika Vijiji na Mjini.

Pia wamejizatiti katika kuendelea kushirikiana na serikali kuharakisha maendeleo ya jamii kwa kutuma dhana ya uwezeshaji wa mikopo yenye masharti nafuu.


Meneja wa Benji ABC tawi la Arusha Magabe Nyambuche


Hivyo makala BENKI YA ABC YAWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA JAMII

yaani makala yote BENKI YA ABC YAWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA ABC YAWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA JAMII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/benki-ya-abc-yawekeza-kwenye-maendeleo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA ABC YAWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA JAMII"

Post a Comment