RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAWILI, SOMA HAPO.

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAWILI, SOMA HAPO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAWILI, SOMA HAPO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAWILI, SOMA HAPO.
kiungo : RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAWILI, SOMA HAPO.

soma pia


RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAWILI, SOMA HAPO.

Mwambawahabari


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri kwa kuteua Mawaziri wawili na Naibu Mawaziri wanne.

Kwanza, Rais Magufuli amemteua Japhet Ngailonga Hasunga kuwa Waziri wa Kilimo.

Kabla ya uteuzi huo Hasunga alikuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, na anachukua nafasi ya Dkt. Charles John Tizeba ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Pili, Rais Magufuli amemteua Joseph George Kakunda kuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji.

Kabla ya uteuzi huo Kakunda alikuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), na anachukua nafasi ya Charles John Mwijage ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Tatu, Rais Magufuli amemteua Constantine John Kanyasu kuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii. Kanyasu anachukua nafasi ya Hasunga ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo.

Nne, Rais Magufuli amemteua Dkt. Mary Machuche Mwanjelwa kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Kabla ya uteuzi huo Dkt. Mwanjelwa alikuwa Naibu Waziri wa Kilimo.

Tano, Rais Magufuli amemteua Mwita Mwikwabe Waitara kuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI. Waitara anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Kakunda ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji.

Sita, Rais Magufuli amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Naibu Waziri wa Kilimo. Bashungwa anachukua nafasi ya Mhe. Dkt. Mwanjelwa ambaye ameteuliwa kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Uteuzi wa viongozi hawa umeanza  tarehe 10 Novemba, 2018 na wateule wote wataapishwa Jumatatu tarehe 12 Novemba, 2018 saa 3:00 asubuhi, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Wakati huo huo, Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Mama Anna Margareth Abdallah na kuivunja bodi hiyo kuanzia leo tarehe 10 Novemba, 2018.


Hivyo makala RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAWILI, SOMA HAPO.

yaani makala yote RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAWILI, SOMA HAPO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAWILI, SOMA HAPO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/rais-magufuli-atengua-uteuzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAWILI, SOMA HAPO."

Post a Comment