AJALI YA NDEGE ARUSHA ,YAUWA 11

AJALI YA NDEGE ARUSHA ,YAUWA 11 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AJALI YA NDEGE ARUSHA ,YAUWA 11, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AJALI YA NDEGE ARUSHA ,YAUWA 11
kiungo : AJALI YA NDEGE ARUSHA ,YAUWA 11

soma pia


AJALI YA NDEGE ARUSHA ,YAUWA 11

Shirika la Ndege la Coastal (Coastal Aviation) katika taarifa yake kuhusu ajali ya ndege iliyotokea jana  asubuhi limesema kuwa watu wote 11 waliokuwa katika ndege hiyo wamefariki dunia.

Coastal wameeleza kuwa, ndege yao, Cessna Caravan ilipata ajali majira ya saa 5 asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki katika eneo la Empakaai, Ngorongoro ikiwa na rubani mmoja na abiria 11 wakati ikiwa safarini kuelekea Serengeti.

Shirika hilo limesema kuwa majina ya waliofariki katika ajali hiyo bado hayajawekwa wazi wakisubiria kuwajulisha ndugu zao.

Mkurugenzi Mkuu wa Coastal, Julian Edmunds amesema kuwa tukio hilo ni la kusikitisha sana, na kwamba mara kadhaa amekuwa akisafiri na ndege za shirikia hilo na hivyo anaimani na marubani pamoja na ndege zao.

Aidha, ameeleza kuwa kwa niaba ya shirikia hilo na wafanyakazi wake, watafanya kila litakalowezekana ndani ya uwezo wao kusaidia katika uchunguzi wa ajali hiyo kwani hakuna kitu cha umuhimu kwao zaidi ya usalama wa abiria.

Kwa sasa wameeleza kwamba wanafanya uchunguzi katika eneo la tukio na kuwa, taarifa zaidi kuhusu chanzo cha ajali hiyo watazitoa mara taarifa kamili zitakapopatikana.


Hivyo makala AJALI YA NDEGE ARUSHA ,YAUWA 11

yaani makala yote AJALI YA NDEGE ARUSHA ,YAUWA 11 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AJALI YA NDEGE ARUSHA ,YAUWA 11 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/ajali-ya-ndege-arusha-yauwa-11.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AJALI YA NDEGE ARUSHA ,YAUWA 11"

Post a Comment