CHADEMA YAMJIBU MASHA YASEMA HAKUWA NA MSAADA WOWOTE

CHADEMA YAMJIBU MASHA YASEMA HAKUWA NA MSAADA WOWOTE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHADEMA YAMJIBU MASHA YASEMA HAKUWA NA MSAADA WOWOTE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHADEMA YAMJIBU MASHA YASEMA HAKUWA NA MSAADA WOWOTE
kiungo : CHADEMA YAMJIBU MASHA YASEMA HAKUWA NA MSAADA WOWOTE

soma pia


CHADEMA YAMJIBU MASHA YASEMA HAKUWA NA MSAADA WOWOTE

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema kuwa aliyekuwa mwanachama wao, Lawrence Masha hakuwa na msaada wowote ndani ya chama hicho.

Amesema kuwa kuondoka kwa Masha katika Chama hicho hakijatikisika chochote bali kinazidi kuimariki na kupokea wanachama wengi wapya, hivyo kuondoka kwa mtu asiyekuwa na msaada ndani ya chama hicho si tatizo.

“Alikuwa hatusaidii chochote ndani ya maji, kwani ulishawahi kumsikia amefanya chochote akiwa chadema? acha amfuate babu yake, acha aondoke zake, sisi hatujapoteza chochote, hata alipokuwa waziri alifanya nini, acha aende kwenye biashara zake Uingereza maana tunasikia anawekeza kule,”amesema Mbowe

\Masha alitangaza uamuzi wa kuondoka Chadema kupitia taarifa yake iliyosambazwa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ya kuamua kuachana na Chadema huku akisema chama hicho kinasafari ndefu ya kuweza kutwaa dola.


Hivyo makala CHADEMA YAMJIBU MASHA YASEMA HAKUWA NA MSAADA WOWOTE

yaani makala yote CHADEMA YAMJIBU MASHA YASEMA HAKUWA NA MSAADA WOWOTE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHADEMA YAMJIBU MASHA YASEMA HAKUWA NA MSAADA WOWOTE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/chadema-yamjibu-masha-yasema-hakuwa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CHADEMA YAMJIBU MASHA YASEMA HAKUWA NA MSAADA WOWOTE"

Post a Comment