title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 16, 2017
kiungo : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 16, 2017
YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 16, 2017
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza mkutano wa tisa wa kikao cha nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge wakati wa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu leo mjini Dodoma unapofanyika mkutano wa tisa wa kikao cha nane.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Dk.Hamisi Kigwangalla akimsikiliza Mbunge wa Karagwe(CCM) Mhe.Innocent Bashungwa wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 16, 2017
yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 16, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 16, 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/yaliyojiri-leo-bungeni-mjini-dodoma_16.html
0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 16, 2017"
Post a Comment