title : OKOA MTOTO WA KIKE,OKOA JAMII
kiungo : OKOA MTOTO WA KIKE,OKOA JAMII
OKOA MTOTO WA KIKE,OKOA JAMII
Katika maeneo mengi ya Tanzania bado kumekuwa na vitendo vya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia ambapo wasichana wengi wamekuwa wakiolewa katika umri mdogo, wengine wakibakwa na wengine kupata ujauzito huku wakiwa bado wanafunzi.
Hili ni janga kubwa lakini bado wasanii wengi wamekuwa wakilikaushia, ila kwa ujasiri na kuthubutu, mabinti hawa wameamua KUSEMA na kulizungumzia. Wimbo ambao umezalishwa na Tanzania Bora Initiative na Producer Mocco Genius na video kufanywa na Hascana. Okoa mtoto wa kike, okoa jamii.
Hivyo makala OKOA MTOTO WA KIKE,OKOA JAMII
yaani makala yote OKOA MTOTO WA KIKE,OKOA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala OKOA MTOTO WA KIKE,OKOA JAMII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/okoa-mtoto-wa-kikeokoa-jamii.html
0 Response to "OKOA MTOTO WA KIKE,OKOA JAMII"
Post a Comment