title : Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akitwa Mkono wa Eid Kwa Wananchi wa Zanzibar.
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akitwa Mkono wa Eid Kwa Wananchi wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akitwa Mkono wa Eid Kwa Wananchi wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi wa Dini na Mashekhe wa Dini ya Kiislamu waliofika Ikulu Mjini Unguja leo kumtakia Rais Sikukuu njema baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) pampja na Viongozi mbali mbali wa Dini na Mashekhe wa Dini ya Kiislamu waliofika Ikulu Mjini Unguja leo kumtakia Rais Sikukuu njema baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,wakiitikia Dua Iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibae Sheikh Saleh Omar Kabi,(wa pili kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pampja na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakiaagana na Viongozi mbali mbali wa Dini na Mashekhe wa Dini ya Kiislamu waliofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya kutakiana Kheri katika Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Mjukuu wake Ali Abdalla Mitawi katika Kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akifanya mahojiano na Watoto Nabil Mohamed Said na Ahmed Mohamed Said (kushoto) waliofika Ikulu Mjini Unguja kutoka Shirika la Utangazaji ZBC kwa ajili ya kutayarisha Kipindi cha Watoto sambamba na Sikukuu ya Eid el Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akitwa Mkono wa Eid Kwa Wananchi wa Zanzibar.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akitwa Mkono wa Eid Kwa Wananchi wa Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akitwa Mkono wa Eid Kwa Wananchi wa Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/rais-wa-zanzibar-dkshein-akitwa-mkono.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akitwa Mkono wa Eid Kwa Wananchi wa Zanzibar."
Post a Comment