title : KUSIMAMISHWA SOKO LA JUMLA LA FEDHA ZA KIGENI (IFEM) HAKUHUSU HUDUMA ZINGINE-BoT
kiungo : KUSIMAMISHWA SOKO LA JUMLA LA FEDHA ZA KIGENI (IFEM) HAKUHUSU HUDUMA ZINGINE-BoT
KUSIMAMISHWA SOKO LA JUMLA LA FEDHA ZA KIGENI (IFEM) HAKUHUSU HUDUMA ZINGINE-BoT
Na Said Mwishehe, Globu ya jamii
BENKI Kuu ya Tanzania(BoT) imesema soko la jumla la fedha za kigeni kati ya benki za biashara (IFEM) ni muhimu katika soko la fedha za kigeni huku ikifafanua hilo ni soko linaloziwezesha benki za biashara na taasisi za fedha kuuza na kununua (kubadilishana) dola za Kimarekani na Shilingi kati yao.
Taarifa ya BoT iliyotolewa Novemba 30,2018 na Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki imesema kuwa soko hilo husaidia kuamua kiwango
rasmi cha kubadilisha dola dhidi ya shilingi kwa siku husika. Benki Kuu ya Tanzania pia hushiriki kuuza na kununua fedha za kigeni pale ambapo inalazimu.
Imesema wakati mwingine huingilia soko ili kuhakikisha hakuna mabadiliko makubwa sana ya kiwango cha kubadilisha fedha.Soko la fedha za kigeni kati ya mabenki (IFEM) lina kanuni na taratibu zake, ambazo zinaeleza kinagaubaga namna washiriki wote wanavyotakiwa kufanya biashara hiyo.
Hivyo makala KUSIMAMISHWA SOKO LA JUMLA LA FEDHA ZA KIGENI (IFEM) HAKUHUSU HUDUMA ZINGINE-BoT
yaani makala yote KUSIMAMISHWA SOKO LA JUMLA LA FEDHA ZA KIGENI (IFEM) HAKUHUSU HUDUMA ZINGINE-BoT Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUSIMAMISHWA SOKO LA JUMLA LA FEDHA ZA KIGENI (IFEM) HAKUHUSU HUDUMA ZINGINE-BoT mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/kusimamishwa-soko-la-jumla-la-fedha-za.html
0 Response to "KUSIMAMISHWA SOKO LA JUMLA LA FEDHA ZA KIGENI (IFEM) HAKUHUSU HUDUMA ZINGINE-BoT"
Post a Comment