title : Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaahidi kusaidia maendeleo ya soka
kiungo : Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaahidi kusaidia maendeleo ya soka
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaahidi kusaidia maendeleo ya soka
Naibu Mhifadhi (Huduma za Shirika) wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Asangye N. Bangu (kushoto), akipeana mkono na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa TFF wa Maendeleo ya Soka (TFDF), Derek Murusuri. Bw Bangu alizitembelea ofisi za TFDF ili kujadili maeneo mbalimbali ya ushirikiano kati ya Mamlaka yake na Mfuko huo. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi za TFDF zilizoko Mikocheni jijini Dar Es Salaam leo (28 June 2017).
Katika mazungumzo hayo, Bw Bangu ameahidi kushirikiana na Mfuko huo katika kuendeleza soka la Tanzania.
Timu ya Taifa ya vijana walio chini ya miaka 20 (U-20), Ngorongoro Heroes, inatumia jina la Mamlaka hiyo ya Taifa ambayo pia ni mojawapo ya maajabu saba ya dunia.
Hivyo makala Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaahidi kusaidia maendeleo ya soka
yaani makala yote Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaahidi kusaidia maendeleo ya soka Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaahidi kusaidia maendeleo ya soka mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mamlaka-ya-hifadhi-ya-ngorongoro-ncaa.html
0 Response to "Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaahidi kusaidia maendeleo ya soka"
Post a Comment