101 BEAUTY CLASS by Cherie Mals.

101 BEAUTY CLASS by Cherie Mals. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa 101 BEAUTY CLASS by Cherie Mals., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : 101 BEAUTY CLASS by Cherie Mals.
kiungo : 101 BEAUTY CLASS by Cherie Mals.

soma pia


101 BEAUTY CLASS by Cherie Mals.


Mafunzo special ya Urembo, kutoka kwa Mwanadada mwenye Vyeti vyenye Uthibitisho wa Kimataifa wa MakeUp Artistry & Beauty Influence (DYF Certified/MakeUpByMario Certified)

Njoo ujifunze kutumia MakeUp, Ujanja wa kitaalamu, Siri za upakaji wanazotumia professionals, Reviews za bidhaa mbalimbali za Urembo, kipengele cha Maswali na Majibu kuhusu Urembo na Bidhaa zake, na pia Zawadi mbali mbali (goodie bags) zitatolewa kwa washiriki.

Kama wewe ndio kwanza unaanza kujifunza au tayari ni MakeUp Artist (MUA) na unataka kuongeza ujuzi, basi fanya booking maana hii ni kwaajili yenu na wote mnakaribishwa. Itakuwa ni Regency Hotel (Mikocheni) tarehe 8 na 9 za Mwezi wa Saba (July). Kwa Booking na Maelezo zaidi wasiliana kwa namba 0685219111 au follow @cherie_mals !! HII SIO YA KUKOSA (wahi maana nafasi ni chache)
#101BeautyClass #CherieMals #CherieOnTheBeat #SharingIsCaring #MakeUpArt
#2DayClass #WaremboNaUrembo


Hivyo makala 101 BEAUTY CLASS by Cherie Mals.

yaani makala yote 101 BEAUTY CLASS by Cherie Mals. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala 101 BEAUTY CLASS by Cherie Mals. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/101-beauty-class-by-cherie-mals.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "101 BEAUTY CLASS by Cherie Mals."

Post a Comment