DJ MKONGWE ZAIDI DUNIANI

DJ MKONGWE ZAIDI DUNIANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DJ MKONGWE ZAIDI DUNIANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DJ MKONGWE ZAIDI DUNIANI
kiungo : DJ MKONGWE ZAIDI DUNIANI

soma pia


DJ MKONGWE ZAIDI DUNIANI

SUMIKO Iwamura mwanamke(83) kutoka nchini China ndiye Dj mzee zaidi duniani ambaye hadi sasa anafanya shughuli hiyo.

Sumiko Iwamura maarufu kama Dj Sumirock alizaliwa Januari 23, 1934 na alikuwa na ndoto za kuwa mtu maarufu duniani kote lakini baada ya baba yake kufungua mgahawa alienda kusaidia hapo mara baada ya kumaliza shule.Dj. Sumirock alienda shule na kujifunza fani hiyo akiwa na miaka 77 na kuanza kufanya kazi hiyo mara mbili kwa mwezi huku akiendelea na kazi ya kuuza mgahawa.

Akiwa na ndoto za kusafiri duniani kote Dj. Sumirock amesafiri katika nchi mbalimbali zikiwemo Paris na Newzealand huku akieleza kupendezwa za muziki wa Jazz na Rock.

Alipoulizwa na jarida la Guiness World Report kuhusiana na fani hiyo alieleza kuwa, "Ninafikiri nilizaliwa na kipaji hiki na huwa sifanyi mazoezi kwa ajili ya afya ila ninapopiga muziki naona nafanya kitu cha tofauti, nahisi nna nguvu" ameeleza Dj. Sumirock.

Kuhusiana na vijana wanaopambana kutimiza ndoto zao Dj. Sumirock alinukuliwa akisema kuwa, "Nafasi zipo kila siku, wasikate tamaa na daima wasisite kujaribu kitu" alieleza.Dj. Sumirock ana ndoto za kusafiri duniani kote kwa kazi yake ya kupiga muziki.
Dj. Sumirock akifanya mambo yake


Hivyo makala DJ MKONGWE ZAIDI DUNIANI

yaani makala yote DJ MKONGWE ZAIDI DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DJ MKONGWE ZAIDI DUNIANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/dj-mkongwe-zaidi-duniani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DJ MKONGWE ZAIDI DUNIANI"

Post a Comment