BIKOSPORTS YAWAKABIDHI KOCHA ZAHERA NA MAKAMBO KUTOKA YANGA TUZO ZAO

BIKOSPORTS YAWAKABIDHI KOCHA ZAHERA NA MAKAMBO KUTOKA YANGA TUZO ZAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BIKOSPORTS YAWAKABIDHI KOCHA ZAHERA NA MAKAMBO KUTOKA YANGA TUZO ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BIKOSPORTS YAWAKABIDHI KOCHA ZAHERA NA MAKAMBO KUTOKA YANGA TUZO ZAO
kiungo : BIKOSPORTS YAWAKABIDHI KOCHA ZAHERA NA MAKAMBO KUTOKA YANGA TUZO ZAO

soma pia


BIKOSPORTS YAWAKABIDHI KOCHA ZAHERA NA MAKAMBO KUTOKA YANGA TUZO ZAO


Kampuni ya michezo ya kubashiri ya BikoSports  kupitia kwa afisa uhusiano wao Geof Lea,leo  imekabidhi tuzo kwa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera na mshambuliaji wa timu hiyo Heritier Makambo ambao walikuwa wameshinda tuzo hizo.

Makambo na alifanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Disemba 2018 wakati kocha Mwinyi Zahera alifanikiwa kushinda tuzo ya Kocha Bora wa mwezi huo huo Disemba ikiwa ni mara ya tatu anashinda tuzo hiyo.

Shirikisho la soka Tanzania TFF liliingia mkataba wa udhamini na kampuni ya BikoSports kwa ajili ya kutoa zawadi na tuzo kwa washindi wa mchezaji bora wa mwezi na kocha bora sambamba na zawadi ya Tsh Milioni 1 kila mmoja kwa kipindi chote cha msimu wa Ligi Kuu 2018/2019 kilichosalia.


Msemaji wa bikosports Tanzania, Geoffrey Lea picha ya kwanza akikabidhi tuzo kwa mchezaji bora wa mwezi Desemba Elichia Makambo.
Msemaji wa bikosports Tanzania, Geoffrey Lea akimkabidhi tuzo kocha bora wa mwezi Desemba,Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera zinazodhaminiwa na Bikosports.
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera (kulia) na mchezaji bora wa mwezi Desemba Elichia Makambo wakiwa katika picha ya pamoja.
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera akifanya mahojiano na baadhi ya waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa tuzo yake kama kocha bora wa mwezi Desemba zinazodhaminiwa na Bikosports.


Hivyo makala BIKOSPORTS YAWAKABIDHI KOCHA ZAHERA NA MAKAMBO KUTOKA YANGA TUZO ZAO

yaani makala yote BIKOSPORTS YAWAKABIDHI KOCHA ZAHERA NA MAKAMBO KUTOKA YANGA TUZO ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BIKOSPORTS YAWAKABIDHI KOCHA ZAHERA NA MAKAMBO KUTOKA YANGA TUZO ZAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/bikosports-yawakabidhi-kocha-zahera-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BIKOSPORTS YAWAKABIDHI KOCHA ZAHERA NA MAKAMBO KUTOKA YANGA TUZO ZAO"

Post a Comment