title : IFAHAMU MIKAKATI YA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA
kiungo : IFAHAMU MIKAKATI YA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA
IFAHAMU MIKAKATI YA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA
Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania, Kamishna Jenerali Phaustine Kasike amesema wanaendelea na mpango wa kuhamisha wafungwa kutoka kwenye magereza yasiyo na shughuli za kilimo na kuwahamishia kwenye Magereza ya kilimo ili kufikia malengo ya kimkakati ya kuzalisha chakula kwa ajili ya kutosheleza wafungwa na mahabusu wote hapa nchini. Ameyasema hayo mara baada ya kukagua shamba la mahindi la Gereza la Kitai lililopo katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma ambapo gereza hilo pia ni miongoni mwa magereza 10 hapa nchini, ambayo yameteuliwa kwenye mpango mkakati wa mradi wa kilimo kwa ajili ya chakula cha wafungwa na mahabusu.
Hivyo makala IFAHAMU MIKAKATI YA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA
yaani makala yote IFAHAMU MIKAKATI YA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IFAHAMU MIKAKATI YA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/ifahamu-mikakati-ya-jeshi-la-magereza.html
0 Response to "IFAHAMU MIKAKATI YA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA"
Post a Comment