title : WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA IDARA ZAKE, AHOJI UTENDAJI KAZI WAO KWA KIPINDI CHA MWEZI AGOSTI HADI OKTOBA, 2018
kiungo : WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA IDARA ZAKE, AHOJI UTENDAJI KAZI WAO KWA KIPINDI CHA MWEZI AGOSTI HADI OKTOBA, 2018
WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA IDARA ZAKE, AHOJI UTENDAJI KAZI WAO KWA KIPINDI CHA MWEZI AGOSTI HADI OKTOBA, 2018

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Wizara na Taasisi zake katika kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi kwa kipindi cha mwezi Agosti hadi Oktoba, 2018. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwa Waziri Lugola ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali, Jacob Kingu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati meza kuu) akifuatilia kwa makini taarifa ya Jeshi la Polisi iliyokua inasomwa na Kamishna wa Polisi Jamii, Musa Ali Musa (kulia), kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Polisi nchini, katika kikao kilichokua kinajadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi kwa kipindi cha mwezi Agosti hadi Oktoba, 2018. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali, Jacob Kingu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu akizungumza katika Kikao cha Watendaji Wakuu wa Taasisi za Wizara hiyo, kilichokuwa kinajadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi wao kwa kipindi cha mwezi Agosti hadi Oktoba, 2018. Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Katibu ni Waziri wa Wizara hiyo, Kangi Lugola. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akifurahi jambo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali, Jacob Kingu, katika kikao cha Watendaji Wakuu wa Taasisi za Wizara yao (hawapo pichani), kilichokua kinajadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi kwa kipindi cha Mwezi Agosti hadi Oktoba, 2018. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hivyo makala WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA IDARA ZAKE, AHOJI UTENDAJI KAZI WAO KWA KIPINDI CHA MWEZI AGOSTI HADI OKTOBA, 2018
yaani makala yote WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA IDARA ZAKE, AHOJI UTENDAJI KAZI WAO KWA KIPINDI CHA MWEZI AGOSTI HADI OKTOBA, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA IDARA ZAKE, AHOJI UTENDAJI KAZI WAO KWA KIPINDI CHA MWEZI AGOSTI HADI OKTOBA, 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/waziri-lugola-akutana-na-watendaji_20.html
0 Response to "WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA IDARA ZAKE, AHOJI UTENDAJI KAZI WAO KWA KIPINDI CHA MWEZI AGOSTI HADI OKTOBA, 2018"
Post a Comment