title : MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR
kiungo : MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR
MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana uliofanyika kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani, Kikwajuni. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Cyrus Castico wakati wa hafla ya uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar.
Sehemu ya waliohudhuria uzinduzi wa baraza la vijana Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihamasisha vijana wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar akiwa pamoja na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Cyrus Castico na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Ndugu Khamis Rashid Kheri.
Sehemu ya wageni waalikwa mbalimbali
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni tayari wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar akiongozana na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Cyrus Castico pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Ndugu Khamis Rashid Kheri. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-azindua-baraza-la-vijana.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR"
Post a Comment