JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU

JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU
kiungo : JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU

soma pia


JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU

 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru ukiwasili nyumbani tayari kwa ibada maalum ya maombolezo, iliyofanyika jioni ya leo. Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru anatarajiwa kuzikwa kesho jioni kwenye makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es salaam.
 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete akimfariji Mzee Kingunge Ngomale Mwiru kwa kufiwa na Mkewe, Mama Peras Ngombale Mwiru, alipofika Nyumbani kwale Victoria, jijini Dar es salaam leo. Katikati ni Mzee Ally Mtopa.
 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe wakati walipokutana kwenye Msiba wa Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru, nyumbani kwake Victoria, jijini Dar es salaam leo.
 Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akimfariji Mzee Kingunge Ngomale Mwiru kwa kufiwa na Mkewe, Mama Peras Ngombale Mwiru, alipofika Nyumbani kwale Victoria, jijini Dar es salaam leo. 
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo akiwa ameambatana na viongozi Wengine wa Chama hicho waliofika nyumbani wa Mzee Kingunge Ngomale Mwiru kumfariji kwa kufiwa na Mkewe, Mama Peras Ngombale Mwiru.
Sehemu ya wanafamilia wakiwa ni nwenye majonzi kwa kuondokewa na mpendwa wao.




Hivyo makala JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU

yaani makala yote JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/jk-viongozi-mbalimbali-wamfariji-mzee.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU"

Post a Comment