Uzinduzi wa Barabara ya Jendele Cheju Unguja Ukuu Kaebona Mkoa wa Kusini Unguja leo Ikiwa Shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Uzinduzi wa Barabara ya Jendele Cheju Unguja Ukuu Kaebona Mkoa wa Kusini Unguja leo Ikiwa Shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uzinduzi wa Barabara ya Jendele Cheju Unguja Ukuu Kaebona Mkoa wa Kusini Unguja leo Ikiwa Shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uzinduzi wa Barabara ya Jendele Cheju Unguja Ukuu Kaebona Mkoa wa Kusini Unguja leo Ikiwa Shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
kiungo : Uzinduzi wa Barabara ya Jendele Cheju Unguja Ukuu Kaebona Mkoa wa Kusini Unguja leo Ikiwa Shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

soma pia


Uzinduzi wa Barabara ya Jendele Cheju Unguja Ukuu Kaebona Mkoa wa Kusini Unguja leo Ikiwa Shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.




RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume, alipowasili katika kijiji cha jendele kwa ajili ya Uzinduzi wa Barabara ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanziba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la Uzinduzi wa Baraza ya Jendele hadi Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja, kulia Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib, hafla hiyo imefanyika katika barabara hiyo jendele ikiwa ni shamrashamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 54.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata Utepe kuashiria uizindu wa barabara mpya kutoka jendele hadi Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja, hafla hiyo imefanyika katika eneo la jendele Wilaya ya Kusini Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata Utepe kuashiria uizindu wa barabara mpya kutoka jendele hadi Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja, hafla hiyo imefanyika katika eneo la jendele Wilaya ya Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe baada ya uzinduzi wa barabara hiyo ya Jendele hadi Unguja Ukuu wakitembea.





 






 





Hivyo makala Uzinduzi wa Barabara ya Jendele Cheju Unguja Ukuu Kaebona Mkoa wa Kusini Unguja leo Ikiwa Shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

yaani makala yote Uzinduzi wa Barabara ya Jendele Cheju Unguja Ukuu Kaebona Mkoa wa Kusini Unguja leo Ikiwa Shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uzinduzi wa Barabara ya Jendele Cheju Unguja Ukuu Kaebona Mkoa wa Kusini Unguja leo Ikiwa Shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/uzinduzi-wa-barabara-ya-jendele-cheju.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Uzinduzi wa Barabara ya Jendele Cheju Unguja Ukuu Kaebona Mkoa wa Kusini Unguja leo Ikiwa Shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar."

Post a Comment