ATUMIA MSAFARA WA MAGARI YA WAOMBOLEZAJI KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

ATUMIA MSAFARA WA MAGARI YA WAOMBOLEZAJI KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ATUMIA MSAFARA WA MAGARI YA WAOMBOLEZAJI KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ATUMIA MSAFARA WA MAGARI YA WAOMBOLEZAJI KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA
kiungo : ATUMIA MSAFARA WA MAGARI YA WAOMBOLEZAJI KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

soma pia


ATUMIA MSAFARA WA MAGARI YA WAOMBOLEZAJI KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

Na Rashid Nchimbi wa Polisi Arusha
Jeshi la Polisi mkoani hapa limemkamata kijana mmoja jina linahifadhiwa mkazi wa Daraja Mbili halmashauri ya jiji la Arusha akiwa na kilogramu 207 za dawa ya kulevya aina ya Mirungi.

Akitoa taarifa hiyo mapema leo ofisini kwake, Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi alisema kwamba, mtuhumiwa huyo alikamatwa jana saa 6:00 Mchana akiwa anatokea mpakani mwa mkoa wa Kilimanjaro kuingia mkoa wa Arusha aliamua kutumia mbinu mpya ya usafirishaji wa dawa hazo kwa kujipachika katikati ya msafara wa magari yaliyokuwa yanakwenda msibani.

Kamanda Ng’anzi alisema kwamba Jeshi hilo lilipata taarifa juu ya uwepo wa mtu huyo aliyekuwa anasafirisha Mirungi kwa kutumia gari ndipo walipowapeleka askari haraka katika eneo la Kikatiti wilayani Arumeru na kuweka mtego.

“Wakiwa katika eneo hilo baada ya muda askari hao waliona gari aina ya Suzuki Escudo rangi ya Kijivu lenye namba za usajili T 505 CNC likiwa katikati ya msafara wa magari yaliyokuwa yanaelekea msibani lakini kwa umahiri mkubwa walilibaini ndipo wakalizuia”. Alifafanua Kamanda Ng’anzi.

Kamanda Ng’anzi alisema kwamba baada ya kufanya upekuzi waligundua kuwepo kwa dawa hazo yaliyohifadhiwa nyuma ya “boot” yakiwa yamehifadhiwa kwenye viroba tofauti tofauti vyote vikiwa na uzito wa kilogramu 207.
  Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) ramadhani Ng'anzi akiwaonyesha waandishi wa habari viroba mbalimbali vya dawa za kulevya aina ya Mirungi vilivyokuwa vinasafirishwa kwa kutumia gari aina ya Suzuki Escudo lenye namba za usajili T 505 CNC. (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha)
Gari aina ya Suzuki Escudo rangi ya kijivu lenye namba za usajuili T. 505 CNC ambalo lilikamatwa eneo la Kikatiti wilayani Arumeru likiwa na viroba vya dawa za kulevya aina ya Mirungi yenye uzito wa Kilogramu 207.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng'anzi akionyesha baadhi ya pikipiki zilizokamatwa kutokana na msako ambazo zilikuwa zinatumiwa na wahalifu waliokuwa wanapora pochi kwa watembea kwa miguu.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala ATUMIA MSAFARA WA MAGARI YA WAOMBOLEZAJI KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

yaani makala yote ATUMIA MSAFARA WA MAGARI YA WAOMBOLEZAJI KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ATUMIA MSAFARA WA MAGARI YA WAOMBOLEZAJI KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/atumia-msafara-wa-magari-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ATUMIA MSAFARA WA MAGARI YA WAOMBOLEZAJI KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA"

Post a Comment