title : KUMBUKUMBU YA MPENZI WETU MAMA KATHERINE LAWRENCE SAGUTI SEPTEMBA 22, 1936 - OCTOBA 4, 2009
kiungo : KUMBUKUMBU YA MPENZI WETU MAMA KATHERINE LAWRENCE SAGUTI SEPTEMBA 22, 1936 - OCTOBA 4, 2009
KUMBUKUMBU YA MPENZI WETU MAMA KATHERINE LAWRENCE SAGUTI SEPTEMBA 22, 1936 - OCTOBA 4, 2009
MAMA, Leo hii unatimiza miaka tisa (9) tokea ulipotuacha hapa duniani. Kila siku tunakukumbuka Mama. Umetufundisha kukua katika upendo, ukweli, uaminifu na kumcha Mungu. Tunamuomba Baba Mungu atuwezeshe tuyaendeleze na kuyaenzi mema yote uliyotufundisha na tuyaendeleze kwa vizazi vyetu vijavyo. MAMA, daima tutaendelea kujivunia zawadi tuliyopewa na Baba Mungu ya maisha yako kwetu sisi kwa maana uliyagusa maisha yetu kwa njia ya pekee.
Unakumbukwa daima na mume wako mpenzi Mzee Lawrence Shelukindo Saguti, watoto, wakwe na wakamwana, wajukuu na vilembwe
...........Tunaendelea kusimama imara na neno toka Ufunuo wa Yohana 12: 11
Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.
..........Na tukimsifu Mungu tukiimba:
Amini Bwana awapenda, Amini,atawabariki, Atawahurumia wote, wamjiao yeye.
Kweli tutaona furaha, Tukifika kwenye Raha kuu, Tukisafishwa mioyo yetu na Yesu Mwokozi.
Endelea kupumzika kwa amani MAMA!
AMEN
Hivyo makala KUMBUKUMBU YA MPENZI WETU MAMA KATHERINE LAWRENCE SAGUTI SEPTEMBA 22, 1936 - OCTOBA 4, 2009
yaani makala yote KUMBUKUMBU YA MPENZI WETU MAMA KATHERINE LAWRENCE SAGUTI SEPTEMBA 22, 1936 - OCTOBA 4, 2009 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU YA MPENZI WETU MAMA KATHERINE LAWRENCE SAGUTI SEPTEMBA 22, 1936 - OCTOBA 4, 2009 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/kumbukumbu-ya-mpenzi-wetu-mama.html
0 Response to "KUMBUKUMBU YA MPENZI WETU MAMA KATHERINE LAWRENCE SAGUTI SEPTEMBA 22, 1936 - OCTOBA 4, 2009"
Post a Comment