title : Mkazi wa Kigamboni ajishindia mbuzi kutoka Jumia
kiungo : Mkazi wa Kigamboni ajishindia mbuzi kutoka Jumia
Mkazi wa Kigamboni ajishindia mbuzi kutoka Jumia
Mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, Dotto Steve amejishindia mbuzi kutoka Jumia kupitia kampeni inayoendelea sasa ya kuelekea sikukuu ya Eid Al Adha.
Kampeni hiyo imekuja kama sehemu ya Jumia kuwazawadia wateja wake mbuzi ili kunogesha shamrashamra za sikukuu ya Eid Al Adha au maarufu kama ‘Eid ya kuchinja.’ Waislamu nchini Tanzania na duniani kote wanatarajiwa kusherehekea sikukuu ya Eid siku ya Jumatano ya Agosti 22 kama ilivyotangazwa na Baraza la Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).
Akizungumza leo wakati wa kukabidhiwa mbuzi wake aliyeshinda kwenye mtandao wa Jumia, Steve amesema kuwa yeye ni mteja mkubwa wa Jumia na alikuwa ameingia mtandaoni kwa ajili ya kununua soksi ndipo alipobahatika kujishindia mbuzi aliyefichwa ndani yake.
“Mimi ni mteja mkubwa wa Jumia katika kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali. Lakini ni mfanyabiashara pia ambaye nina mchakato wa kujiunga na mtandao huu wa kuuza bidhaa mtandaoni. Ninajihisi mwenye bahati mpaka kujishindia mbuzi huyu kwa sababu niliingia mtandaoni kwa ajili ya kununua soksi.
Lakini nilishtushwa kidogo na bei ya soksi, ilikuwa kubwa tofauti na nilivyotaraji ila kwa kuwa nilizipenda zile soksi mimi nikabofya ili nizinunue. Baada ya muda mchache ndipo nikapigiwa simu na watu wa Jumia na kuniambia kuwa nimefanikiwa kumpata mbuzi aliyekuwa amefichwa mtandaoni mwao hivyo yanipasa nije kumchukua,” alielezea namna alivyoshinda Bw. Steve.

Mkurugenzi Mkuu wa Jumia Tanzania, Zadok Prescott akimkabdhi Mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, Dotto Steve aliyejishindia mbuzi kutoka Jumia kupitia kampeni inayoendelea sasa ya kuelekea sikukuu ya Eid Al Adha ( Eid ya kuchinja) . Kampeni hiyo imekuja kama sehemu ya Jumia kuwazawadia wateja wake mbuzi ili kunogesha shamrashamra za sikukuu ya Eid Al Adha au maarufu kama ‘Eid ya kuchinja.’ Waislamu nchini Tanzania na duniani kote wanatarajiwa kusherehekea sikukuu ya Eid siku ya Jumatano ya Agosti 22 kama ilivyotangazwa na Baraza la Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).
Mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, Dotto Steve akifafanua zaidi mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo namna alivyojishindia zawadi hiyo,mara baada ya kukabidhiwa mbuzi wake aliyeshinda kwenye mtandao wa Jumia, jijini Dar
Mshindi wa Mbuzi akiwa na baadhi ya Viongozi waandamizi wa Jumia Tanzania katika picha ya pamoja mara baada ya makabidhiano leo.

Hivyo makala Mkazi wa Kigamboni ajishindia mbuzi kutoka Jumia
yaani makala yote Mkazi wa Kigamboni ajishindia mbuzi kutoka Jumia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkazi wa Kigamboni ajishindia mbuzi kutoka Jumia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mkazi-wa-kigamboni-ajishindia-mbuzi.html
0 Response to "Mkazi wa Kigamboni ajishindia mbuzi kutoka Jumia"
Post a Comment