WAZIRI WA NISHATI AELEZA NAMNA AMBAVYO SERIKALI IMEWEKA MIKAKATIMADHUBUTI SEKTA YA MAFUTA NA GESI

WAZIRI WA NISHATI AELEZA NAMNA AMBAVYO SERIKALI IMEWEKA MIKAKATIMADHUBUTI SEKTA YA MAFUTA NA GESI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA NISHATI AELEZA NAMNA AMBAVYO SERIKALI IMEWEKA MIKAKATIMADHUBUTI SEKTA YA MAFUTA NA GESI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA NISHATI AELEZA NAMNA AMBAVYO SERIKALI IMEWEKA MIKAKATIMADHUBUTI SEKTA YA MAFUTA NA GESI
kiungo : WAZIRI WA NISHATI AELEZA NAMNA AMBAVYO SERIKALI IMEWEKA MIKAKATIMADHUBUTI SEKTA YA MAFUTA NA GESI

soma pia


WAZIRI WA NISHATI AELEZA NAMNA AMBAVYO SERIKALI IMEWEKA MIKAKATIMADHUBUTI SEKTA YA MAFUTA NA GESI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

WAZIRI wa Nishati D.Medradrd Kaleman amesema Serikali imeweka mikakati madhubuti kuhakikisha Watanzania wanakuwa wanafuika namba moja katika miradi mikubwa inayoendelea nchini.

Pia amesema katika kuhakikisha sekta ya nishati na gesi inawanufaika Watanzania wa makundi yote Serikali imeweka sera na mikakati madhubuti itakayosimamia vema maslahi ya nchi.

Waziri Kalemani amesema leo jijini Dar es Salaam baada ya kuzungumza kwenye Kongamano la Pili la mafuta na gesi ambapo wadau zaidi 300 kutoka mataifa 75 duniani wameshiriki na kutoa maoni yao.

Akifafanua zaidi kuhusu namna ambavyo Serikali imejiandaa katika kuhakikisha sekta ya mafuta na gesi Waziri Kaleman amesema kikubwa ambacho wanahamasisha ni wananchi kushiriki katika sekta hizo na hasa miradi mikubwa inayoendelea ili waweze kunufaika.

“Tumewaambia wawekazaji wote ambao wamefika hapa na wale ambao wanayo miradi mikubwa wanayoendelea kuitekeleza kuhakikisha wananchi wetu wanashirikishwa na kunuifaka.“Kuna kazi ambazo hazina sababu ya kufanywa na watu wa nje.Tunafahamu Watanzania wamesoma kwa viwango tofauti lakini kila mmoja lazima ashiriki kwa nafasi yake na anufaike na uwepo wa miradi inayoendelea nchini,”amesema Waziri Kalemani.

Amefafanua katika kushiriki huko ni matarajia ya Serikali kuwa kampuni ambazo zinahusika na chakula basi vitauza chakula, kampuni za kisheria basi nazo zitatoa ushauri wa kisheria na kwamba kila kampuni, kikundi au mtu mmoja mmoja lazima ashiriki na tayari Serikali imeweka mazingira mazuri.

 Pia amezungumzia hisa ya asilimia 25 kwa ajili ya wazawa na kwamba muwekezaji yoyote ambaye anataka kuja kuwekeza nchini katika gesi na mafuta basi lazima asilimia 25 ya uwekezaji iwe ya watanzania.

 Amewahakikisha Watanzania kuwa Serikali imejipanga vema kuhakikisha rasilimali zilizopo nchini zinawanufaisha.Wakati huo huo amesema mkutano huo umedhihirisha namna ambavyo sekta binafsi wanashirikiana na Serikali katika kutoa muelekeo kuhusu sekta hiyo.


Hivyo makala WAZIRI WA NISHATI AELEZA NAMNA AMBAVYO SERIKALI IMEWEKA MIKAKATIMADHUBUTI SEKTA YA MAFUTA NA GESI

yaani makala yote WAZIRI WA NISHATI AELEZA NAMNA AMBAVYO SERIKALI IMEWEKA MIKAKATIMADHUBUTI SEKTA YA MAFUTA NA GESI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA NISHATI AELEZA NAMNA AMBAVYO SERIKALI IMEWEKA MIKAKATIMADHUBUTI SEKTA YA MAFUTA NA GESI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/waziri-wa-nishati-aeleza-namna-ambavyo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI WA NISHATI AELEZA NAMNA AMBAVYO SERIKALI IMEWEKA MIKAKATIMADHUBUTI SEKTA YA MAFUTA NA GESI"

Post a Comment