Mahakama ya Juu Nchini Kenya Imetoa Sababu za Kufutwa Matokeo ya Urais

Mahakama ya Juu Nchini Kenya Imetoa Sababu za Kufutwa Matokeo ya Urais - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mahakama ya Juu Nchini Kenya Imetoa Sababu za Kufutwa Matokeo ya Urais, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mahakama ya Juu Nchini Kenya Imetoa Sababu za Kufutwa Matokeo ya Urais
kiungo : Mahakama ya Juu Nchini Kenya Imetoa Sababu za Kufutwa Matokeo ya Urais

soma pia


Mahakama ya Juu Nchini Kenya Imetoa Sababu za Kufutwa Matokeo ya Urais


Nibu jaji mkuu nchi Kenya Philomena Mwilu, amesema kuwa kushindwa kwa IEBC kufuata agizo la mahakama kuhusu madai yaliyoibuliwa na upinzani, inaonyesha kuwa madai ya udukuzi yalikuwa ni ya ukweli.

Jaji Mwilu amesema mahakama ilikubaliana madai ya upinzani kuwa matokeo yalitangazwa kabla ya matokeo yote kutoka kwa vituo 40,000 kupokelewa.
"Uchaguzi haukuwa na uwazi na hatukuwa na lingine ila kuufuta," jaji alisema.
Jaji Mwilu amesema tume ya IEBC ilitegemea ripoti za waangalizi wa uchaguzi kuamua kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki.

Waangalizi walikosolewa vikali wakati uchaguzi ulifutwa kwa kuharakisha kusema kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wenye uwazi.
Kwa upande wake jaji mkuu nchini Kenya David Maraga, amesema kuwa upinzani hakubaini madai yao kuwa kampeni za rais zilitumia fedha za umma kugharamia kampeni zao.
Jaji Maraga amesema kuwa sampuli kadha za fomu zilionyesha kuwa hazikuwa na mihuri rasmi, zingine hazikwa na sahihi na namba za usajili wala alama rasmi.

Amesema kuwa uchaguzi haukufutwa tu kwa sababu ulikuwa na hitilafu, lakini kile amekuwa akikichunguza ni ikiwa hitalafu hizo zilishawishi matokeo.


Hivyo makala Mahakama ya Juu Nchini Kenya Imetoa Sababu za Kufutwa Matokeo ya Urais

yaani makala yote Mahakama ya Juu Nchini Kenya Imetoa Sababu za Kufutwa Matokeo ya Urais Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mahakama ya Juu Nchini Kenya Imetoa Sababu za Kufutwa Matokeo ya Urais mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mahakama-ya-juu-nchini-kenya-imetoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mahakama ya Juu Nchini Kenya Imetoa Sababu za Kufutwa Matokeo ya Urais"

Post a Comment